Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu nyingine kubwa kwa taifa letu - Naiona CCM kuendelea kuwa juu miaka100

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
20,458
Reaction score
36,481
Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao.

CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye
Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa taifa letu.

CCM inajiimarisha kila kuchwapo, ni chama pekee cha siasa nchini kinachokubali kuingia gharama ya kubadilika kwa maslahi ya chama na ya taifa

1.Tulifunga mikanda na Nyerere,
2.Tukapewa ruksa na kulegeza mikanda Ali Mwinyi
3.Tukajengewa mifumo ya mapato na kufunga mikanda kwa Mkapa,
4.Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu,
5.Takanyooshwa na kunidhamishwa kwa shurti na JPM
6.Sasa SSH anasawazisha mambo na kukazia nidhamu bila shurti hapa lazima

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿🔥🔥🔥🔥
 
Mama yako kasema wafanyabiashara waachwe waenjoy kufanya biashara Tanzania
 
Mtaga hamjui mushike lipi muache lipi; kazi kukata mauno kuendana na midundo ...
 
Mataga mbona mnahangaika sana. Huku mnasema mama ataiua CCM hapo hapo mnasema itaishi miaka 100.

Tusikilize lipi?
jitombashisho ndio mpinzani wa mama namba mosi kutoka TIMU CHATO.
 
Kwa sasa wanaCCM ndo Watanzania waliochanganyikiwa zaidi, hawaelewi washike lipi. Mama anawavuruga😀
 
Nchi inahitaji mustakbali mpya wa kisiasa. Hatuwezi kuendelea kutumia katiba iliyo mahususi kwa mfumo wa chama kimoja katika wakati ambao tunao vyama vingi vya siasa - Bashiru og

I
 
Ebu tuache utani! Rais hawezi kuongoza taifa lililo nusu!! Amebaki akiendesha tu ccm! Kila mahali ni kijani kila mkutano ni kijani hakuna taifa!! It is a shame for a woman president!! Rais Mwinyi Zanzibar amefanya vizuri sana!! Heko to him! Ameunganisha taifa or at least he is trying!!
Hilo Mbowe ni aibu kubwa kwa Samia!!
 
Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao.

CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye
Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa taifa letu.

CCM inajiimarisha kila kuchwapo, ni chama pekee cha siasa nchini kinachokubali kuingia gharama ya kubadilika kwa maslahi ya chama na ya taifa

1.Tulifunga mikanda na Nyerere,
2.Tukapewa ruksa na kulegeza mikanda Ali Mwinyi
3.Tukajengewa mifumo ya mapato na kufunga mikanda kwa Mkapa,
4.Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu,
5.Takanyooshwa na kunidhamishwa kwa shurti na JPM
6.Sasa SSH anasawazisha mambo na kukazia nidhamu bila shurti hapa lazima

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kama hujalogwa basi ulizaliwa na utapiamlo
 
Shida yako kubwa una akili za kukopa na anayekopesha ana ubongo wa inzi

Pole sana maana chama unachokipenda unakiua mwenyewe kwa mkopo wa fikra
 
Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao.

CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye
Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa taifa letu.

CCM inajiimarisha kila kuchwapo, ni chama pekee cha siasa nchini kinachokubali kuingia gharama ya kubadilika kwa maslahi ya chama na ya taifa

1.Tulifunga mikanda na Nyerere,
2.Tukapewa ruksa na kulegeza mikanda Ali Mwinyi
3.Tukajengewa mifumo ya mapato na kufunga mikanda kwa Mkapa,
4.Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu,
5.Takanyooshwa na kunidhamishwa kwa shurti na JPM
6.Sasa SSH anasawazisha mambo na kukazia nidhamu bila shurti hapa lazima

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Mkilewa Serengeti Lite za offer muwe mnatulia nyumbani.Msiletee waume zenu aibu.
 
😍😍😍😍

Back
Top Bottom