Hiyo kitaalam inaitwa 'Total football' tinakaba wote, af tunaupiga mwingi! ππππMama yako kasema wafanyabiashara waachwe waenjoy kufanya biashara Tanzania
jitombashisho ndio mpinzani wa mama namba mosi kutoka TIMU CHATO.Mataga mbona mnahangaika sana. Huku mnasema mama ataiua CCM hapo hapo mnasema itaishi miaka 100.
Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM
Ni suala la muda tu. Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM. Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo. Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo...www.jamiiforums.com
Tusikilize lipi?
Kama hujalogwa basi ulizaliwa na utapiamloWale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao.
CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye
Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa taifa letu.
CCM inajiimarisha kila kuchwapo, ni chama pekee cha siasa nchini kinachokubali kuingia gharama ya kubadilika kwa maslahi ya chama na ya taifa
1.Tulifunga mikanda na Nyerere,
2.Tukapewa ruksa na kulegeza mikanda Ali Mwinyi
3.Tukajengewa mifumo ya mapato na kufunga mikanda kwa Mkapa,
4.Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu,
5.Takanyooshwa na kunidhamishwa kwa shurti na JPM
6.Sasa SSH anasawazisha mambo na kukazia nidhamu bila shurti hapa lazima
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mkilewa Serengeti Lite za offer muwe mnatulia nyumbani.Msiletee waume zenu aibu.Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao.
CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye
Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa taifa letu.
CCM inajiimarisha kila kuchwapo, ni chama pekee cha siasa nchini kinachokubali kuingia gharama ya kubadilika kwa maslahi ya chama na ya taifa
1.Tulifunga mikanda na Nyerere,
2.Tukapewa ruksa na kulegeza mikanda Ali Mwinyi
3.Tukajengewa mifumo ya mapato na kufunga mikanda kwa Mkapa,
4.Tukaichikulia nchi powa na kumwita mzee wetu JK dhaifu,
5.Takanyooshwa na kunidhamishwa kwa shurti na JPM
6.Sasa SSH anasawazisha mambo na kukazia nidhamu bila shurti hapa lazima
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote ππΉπΏπ₯π₯π₯π₯
Unaweza shangaa kwa hoja ya kibwege kama hii unaweza kuteuliwa DCShida yako kubwa una akili za kukopa na anayekopesha ana ubongo wa inzi
Pole sana maana chama unachokipenda unakiua mwenyewe kwa mkopo wa fikra
ππππWale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao.

Mkuu hujaona hoja hapo?Unaweza shangaa kwa hoja ya kibwege kama hii unaweza kuteuliwa DC
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
ππππShida yako kubwa una akili za kukopa na anayekopesha ana ubongo wa inzi
Pole sana maana chama unachokipenda unakiua mwenyewe kwa mkopo wa fikra
ππππMama Samia tumpe mitano Tena, huyu atatuvusha salama Tanzania yetu kwenda nchi ya ahadi.