mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka.
Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa pamoja na Musa."
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake😍🇹🇿🔥
Rais John Pombe Joseph Magufuli apumzike kwa amani na mwanga wa milele Mungu umuangazie💔🙏
Tanzania iko imara sana 😍 🇹🇿💪✌👍