Kifupi tuseme ameen!Walionusurika na Panga la Magufuli hapa hawatoboi[emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wacha kazi iendelee na Mungu atutunzie rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji3531][emoji120]
Unasemaje kusiwe na uchaguzi tena apitishwe mpaka 2030!Mama Samia ndio Joshua WETU, atatufikisha Kanani, nchi ya ahadi, nchi ya maziwa na asali [emoji3046][emoji492][emoji480][emoji1636]
Ahahahah mkuu hiyo emoji ya glass ya mtindi ni sooMama Samia ndio Joshua WETU, atatufikisha Kanani, nchi ya ahadi, nchi ya maziwa na asali 🥣🍝🍼🥛
Duh! Mmeanza ahahahahahaUnasemaje kusiwe na uchaguzi tena apitishwe mpaka 2030!
Panga lipi yena wakati hao ni wezi wenzake, asingekaa awawajibishe.Walionusurika na Panga la Magufuli hapa hawatoboi😍🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Wacha kazi iendelee na Mungu atutunzie rais wetu Samia Suluhu Hassan♥️🙏
Raisi Wangu Mpenzi sabah lkheyr nafikiri huu msemo unaujua ( Alhimari la yamshii ila bil Asaa)
So ukitaka ufanikiwe nenda kwa style hii na zaidi mm nengukua sehemu yako Mafisadi ningewapiga risasi Uwanja taifa mchana kweupe mbele ya watanzania wote na TV zote zinatoa live baada ya uchunguzi wa kina.
Maoni yangu kwako wataku underestimate na kukufanyia kila vitimbi na hila lkn Simama tall simama farm wanyonge wa Mungu tuko nyuma yako na Allah ndie wakutegea.
Na ukiwa na dhiki yyote mama angu sujudu kwa Allah muombe utapata solution.Yaa Allah Tunakuomba Kila ajae na shari waijua yake siri ivunje yake dhamiri asiweze kusimama.Yaa Allah Mlinde Raisi wetu Mpendwa Mama Samia na Mahasidi wa ndani na wa nje (Wamin Shari Hasidi Idhaa Hasada) Amin Rabilamiyna.
Namuona mzee mwa mahasara hapoWalionusurika na Panga la Magufuli hapa hawatoboi[emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wacha kazi iendelee na Mungu atutunzie rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji3531][emoji120]
Ujumbe mzuri sana ubarikiwe,mbona hujamalizia ni kosa gani musa alitenda akaambiwa hatofika kanaan?Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka.
Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa pamoja na Musa."
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake😍🇹🇿🔥
Rais John Pombe Joseph Magufuli apumzike kwa amani na mwanga wa milele Mungu umuangazie💔🙏
Tanzania iko imara sana 😍 🇹🇿💪✌👍
Bado ni mapema sn mkuu maana akianza kusifia na akina Jafo lazima apoteeMama Samia ndio Joshua WETU, atatufikisha Kanani, nchi ya ahadi, nchi ya maziwa na asali 🥣🍝🍼🥛
Hatufiki TU kwenye hii nchi ya ahadi,asali na maziwa?...kila mwaka tunaenda tuu,ila hatufiki...toka 1961...Mama Samia ndio Joshua WETU, atatufikisha Kanani, nchi ya ahadi, nchi ya maziwa na asali [emoji3046][emoji492][emoji480][emoji1636]