technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wengi wanaopiga kelele wanakupenda sana.
Wachache wanaokusifia kwa kila jambo wanakupoteza na wanakuingiza mkenge shutuka.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu watu wengi wanataka yafuatayo!!
Umeme kuunganishwa umepanda kutoka 27000 mpaka 320,000 ndugu yangu rais wangu nakupenda Sana hapa wanachi wengi hawajafurahia na wanasononeka Sana.
Wananchi wengi hawapendezwi na jinsi wahuni ndani ya ccm wanavyomtukana Rais aliyepita Magufuli Kama vile hakuna jambo jema alilofanya nawaomba hii ajenda muachane nayo.
Mambo yote mabaya yanayomhusu Magufuli achana nayo Kama ulivyomsimanga juzi kuhusu vifaranga ndugu yangu achana na mtu aliyelala Marehemu hasemwi.
Rais wangu achana na wahujumu uchumi kupita wizara ya nishati wanafanya biashara za solar na generator wakiongozwa na February Hawa watakuangusha mvua imenyesha ya kutosha umeme uwake...!
Rais wangu Wizara ya nishati inahujumiwa na serikali yenyewe na kuna tetesi za kupandishwa kwa unit ya umeme kutoka 300+ kwenda 500+ kwa unit moja huu ni uhujumu uchumi wa wazi wazi!!
Tatizo la maji lisijirudie tena naona baada ya mto ruvu kujaa mmesahau tena na kuanza kukenua meno mwakani tutarudi kulekule mwakani.
Rais wangu acha kufurahisha genge la watu wachache ambao ni wahujumu uchumi wa nchi hii utachekwa pekee yako.
Kama wanavyomsimanga Magufuli na Jk na wewe unawatazama tu ndio hivyo hivyo watakutukana ukirudi Zanzibar.
Mambo ni mengi muda ni mchache ila nakupa tu tahadhari ukiendelea kusikiliza sauti za wachache na kuacha sauti za wengi by 2025 unaenda nyumbani.
Katiba imekushinda, Tume huru imekushinda, mikutano ya wanasiasa wenzio imekushinda, Maji yamekushinda, Uchumi umekushinda, mfumuko wa bei umekushinda, Bandari imekushinda, umeme ndio unapuyanga, Reli ndio hiyo umebariki tuletewe mabehewa fake upuuzi mtupu na nauri za dar dodoma eti elf 55😀😀
Nchi ipo kukopa tu na kuongeza deni la taifa wakati kinachokopwa Wala hakijulikani kinaenda wapi?
Chukua tahadhari wanaokupaka mafuta ndio watakuangusha.
Acha kumsema Magufuli, pia piga marufuku watu wote kumsema vibaya mtu aliyekufa.
Acha kuzunguka na kuzurura kaa ofisini pitia mafaili ya watu na watumbue watu Linda pesa za nchi by 2025 utakuja kunishukuru nimekaa pale!!.