Rais Samia Suluhu Hassan sikiliza kilio cha wengi, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu

Kwa ufupi Rais Samia ni bonge la Muongo na mnafiki, najua watu wanamvumilia sana
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa ku argue kwa hoja vizuri kabisa. Usemayo ni kweli kabisa. Lakini nawewe si unafahamu kuwa makamu ni mshauri tu kulingana na katiba yetu? Kumbuka rais hashurutishwi kupokea ushauri kutoka kwa yeyote yule. Hata kama Samia hakukubaliana naye, angefanyaje?.
 
Nyie ndio mna matatizo, pambaneni na matatizo yenu. Rais wetu hana tatizo lolote
 
Angejiuzulu.
 
Katiba imekushinda, Tume huru imekushinda, mikutano ya wanasiasa wenzio imekushinda
Mkuu technically , unaonyesha una haraka sana na mcheche!, katiba ni mchakato Doctor Mama aliisha lisemea kupanga ni kuchagua, amesema tujenge kwanza uchumi. Tume huru na mikutano ya vyama hili liko ndani ya uwezo wake and it's just a matter of time atalimaliza. Vuta subra tumpe muda.
P
 
ssass
Raisi wa Jamhuri Ya Muungano wa TZ halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote (Katiba JMT,1977) Kifungu sikumbuki
Watu wakiambiwa katiba mpya wanashupaza shingo
sasa hata kama wewe ni Rais ufuate ushauri wa kila mtu si itakuwa balaa
 
Kweli mzee Pascal Mayalla wahenga walisema "subira yavuta heri". Lakini wahenga hao hao wakasema tena, "ngoja ngoja yaumiza matumbo".
 
Mungu anaipenda sana Tanzania.

Imeandikwa, Nitampiga Mchungaji na kondoo watatawanyika,

Bt Alipopigwa Mchungaji na maharamia Bado kondoo walirudi salama zizini.

Mungu Amesikia vilio vya watu wake, na anashuka tena kutenda HAKI na HUKUMU.

Mungu amekukumbuka ee Tanzania.

God has remembered our land Tanzania.

Justice is coming. Ameeeen.
 
Kama tungekuwa na katiba ya wananchi,viongozi ndio wangekuwa wanatusikia na kutubembeleza lakini kwa hii yakwenu tunawabembela na kuwapaka mafuta
 
 
Unajisumbua tu mkuu.

Swala la umeme akimuuliza waziri lazima apigwe kiswahili.

Kama ana mwita JANU unafikiri kuna kitu serious kinaendelea hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…