Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Hiyo miradi ya chato aachiwe magufuli mwenyewe aimalizie.itakuwa inahusu chatoo hiyo
Bimkubwa ni muwazi sana...lakini mengine aangalie sanaNimesikiliza hotuba ya Jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha Kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachananalo.
Jambo gani hili? Akiachananalo halina madhara Kwetu sisi wanainchi na serikali yake?
Mkuu ulisikiliza ila hukuelewa...tatizo elimu.....Mama alimaanisha huko zamani kuna ishu ya muwekezaji ambayo alijitahidi kusolve akaamua kuachana nayo baada ya kuona mazingira ya kupata suluhu hayapo.Nimesikiliza hotuba ya Jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha Kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachananalo.
Jambo gani hili? Akiachananalo halina madhara Kwetu sisi wanainchi na serikali yake?
Bado hajatulia na kujiamini kabisa...unajua hili jambo limemjia kama suprise[emoji848] Mama! wewe ndio Raisi ujue
Acha story😄Bado hajatulia na kujiamini kabisa...unajua hili jambo limemjia kama suprise
Hata Mimi nilishangaa kulileta hadharani jambo Hilo, kibaya zaidi anakiri Kushindwa, nimeogopa Mimi.Bimkubwa ni muwazi sana...lakini mengine aangalie sana
Hasidi hana sababu...ni mwendo wa husda tuu.Uwezo wake ni mdogo bi mkubwa, wenye akili tunacheka tu anapopiga porojo.