Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
- Thread starter
- #21
Itakuwa Dangote? Sasa Rais asikiri hadharani kuwa kashindwa.Mkuu ulisikiliza ila hukuelewa...tatizo elimu.....Mama alimaanisha huko zamani kuna ishu ya muwekezaji ambayo alijitahidi kusolve akaamua kuachana nayo baada ya kuona mazingira ya kupata suluhu hayapo.