Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
- Thread starter
-
- #21
Itakuwa Dangote? Sasa Rais asikiri hadharani kuwa kashindwa.Mkuu ulisikiliza ila hukuelewa...tatizo elimu.....Mama alimaanisha huko zamani kuna ishu ya muwekezaji ambayo alijitahidi kusolve akaamua kuachana nayo baada ya kuona mazingira ya kupata suluhu hayapo.
Lete ubuyu tumumunye[emoji3]Acha story[emoji1]
Kurudisha pesa alizoiba Mtupoli na watu wake.
SHUJAA feki alikua MWIZI sana
Mtakatifu wa MATAGA alikua tapeli.
Kwani mtangulizi wake alitarajia kuwa Rais?Bado hajatulia na kujiamini kabisa...unajua hili jambo limemjia kama suprise
Wewe ni nan mpk umtusi rais wa nchi, ushaingia kwenye 18 tayari subiri uone.Uwezo wake ni mdogo bi mkubwa, wenye akili tunacheka tu anapopiga porojo.
YESU fake wa Mwibara na chattoKurudisha pesa alizoiba Mtupoli na watu wake.
SHUJAA feki alikua MWIZI sana
Mtakatifu wa MATAGA alikua tapeli.
Bimkubwa ni muwazi sana...lakini mengine aangalie sana
Bado hajatulia na kujiamini kabisa...unajua hili jambo limemjia kama suprise
Bado hajatulia na kujiamini kabisa...unajua hili jambo limemjia kama suprise
Mkuu hao watu wenye akili finyu wapotezee wakojoe wakalale hawana maana kabisaHapa ndio unaonyesha hauna akili
JPM kakaa wizara tajiri miaka kama 15 hivi.....angepende hela angekuwa bakhresa huyo
uwe una kaa na kufikiria na kamwe usimdhalilishe mama yako kukuzaa ukiwa na akili timamu
Be you, kufuata mkumbo kwenye platform kama hizi hakukupi furaha ya moyo ukajisimamia kama binadamu halis na sio sanamu
Hana uwezo wa kusimamia jambo lolote.Hasidi hana sababu...ni mwendo wa husda tuu.
Na mnaongojea ashindwe mtasubiria sana.
She speaks her mind very openly. Sijajua ni yeye kweli ama anacheza na saikolojia za watu.Bimkubwa ni muwazi sana...lakini mengine aangalie sana
Yeye ndiye rais sasa.Uwezo wake ni mdogo bi mkubwa, wenye akili tunacheka tu anapopiga porojo.
Mama wala usiumize kichwa we kilete hapa jamvini na kule twita chap kwa harak tunakupa mbinu hii ni serikali ya wananchi