Hapa ndio unaonyesha hauna akili
JPM kakaa wizara tajiri miaka kama 15 hivi.....angepende hela angekuwa bakhresa huyo
uwe una kaa na kufikiria na kamwe usimdhalilishe mama yako kukuzaa ukiwa na akili timamu
Be you, kufuata mkumbo kwenye platform kama hizi hakukupi furaha ya moyo ukajisimamia kama binadamu halis na sio sanamu
Pole mjane, hawezi potezea ukweli. Unachoma...Mkuu hao watu wenye akili finyu wapotezee wakojoe wakalale hawana maana kabisa
Rais wetu yuko imara na straight muwazi
Tuendelee Mungu ampe afya na amjalie hekima ipitayo hekima zote katika kutuongoza
Maana wabongo nasi vichwa ngumu na wajuaji mnooo
Kabisa kiongozi nchi yetu hii, sisi hata kaburi tutafukua tutie bakora Mtupoli.Mama wala usiumize kichwa we kilete hapa jamvini na kule twita chap kwa harak tunakupa mbinu hii ni serikali ya wananchi
Mshaolewa nyinyi....Pole mjane, hawezi potezea ukweli. Unachoma...
Mungu wa Chato ni feki feki sana
Litakuwa ni la uenyekiti la ccmNimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.
Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Uwezo wake ni mdogo bi mkubwa, wenye akili tunacheka tu anapopiga porojo.
Bimkubwa ni muwazi sana...lakini mengine aangalie sana
Yeye alikuwa na nia ya kulitatua ila aambiliki Jiwe ndio alimzuia.Mama alimaanisha hivyo.Kwa sasa hivi ana uwezo huo wa kulitatua!Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.
Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.
Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Sasa kamuachia nani!!??Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.
Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Woga ukimtoka WATAMKOMASi katiba inamlinda kama anaruhusiwa kuyafanya? Au aendelee kuwa muoga?