Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hivi wazee huwa wapo Dar pekee?Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takribani 900.
MATAGA andaeni mapovu tena maana Mama anaenda kuifungua nchi.
Hivi wazee huwa kuwapata ni vigezo vipi wanahitaji, ili nijitahidi nami niwe mwalikwa kumsikiliza Mama yetu... kazi iendelee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee..
Mzee Msoga style
Azungumze nao wakati wao watakuwa wanauchapa usingizi?Atazungumza nao au atahutubia?
Kama kawaida wa CCM, umeisahau CCM na ubaguzi wao?Watakuwa ni wazee wote ama wa CCM peke yake?
Alishasema kuwa haitaji ushauriDikteta aliwadharau sn
Pamoja na corona yote hii bado tuna kusanya wazee sehemu moja jamani?Azungumze nao wakati wao watakuwa wanauchapa usingizi?
Asante mkuu. Nadhani kama wa vyama vingine nao wakialikwa litakuwa jambo la afya sana kwa ustawi wa siasa za Tanzania.CCM pekee huwezi kuona chama kingine amealikwa, utakuta akina Shibuda, Mrema na wengine
Mwezi wa kumi ataongea na wazee wa Dodoma.Hivi wazee huwa wapo Dar pekee?
Shida hata wakialikwa hawaturuhusiwa kuuliza maswali yaani ni kama kanisani vileAsante mkuu. Nadhani kama wa vyama vingine nao wakialikwa litakuwa jambo la afya sana kwa ustawi wa siasa za Tanzania.
Kwanini asiongee na wazee wa Mbeya kwanza?Mwezi wa kumi ataongea na wazee wa Dodoma.
Hapo kama wataingia 100 kwenye wiki mbili korona lazima ipunguzepoPamoja na corona yote hii bado tuna kusanya wazee sehemu moja jamani?
Kumbuka msoga aliiga kwa mwl nyerere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee..
Mzee Msoga style
Bavicha wamecover nafasi ya mataga!MATAGA hawaonekani ni vumbi tu lina timka Mama songa mbele TUPO PAMOJA
Kwa sababu hizi ni zama mpya ni vizuri wa upande mwingine nao wakaalikwa.Kama kawaida wa ccm, umeisahau ccm na ubaguzi wao?
Wazo zuri sanaKwa sababu hizi ni zama mpya ni vizuri wa upande mwingine nao wakaalikwa.