IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Kwani ubaguzi si aliondoka nao jiwe?Kama kawaida wa ccm, umeisahau ccm na ubaguzi wao?
Na sasa hivi mambo ni safi na nmeona mnademka sana kuisifia ccm na Smaia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ubaguzi si aliondoka nao jiwe?Kama kawaida wa ccm, umeisahau ccm na ubaguzi wao?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]MATAGA unalo.
Kaombe Ruksa Chato kwanza.
Kila baada ya miez mitatu atakuwa anaongea na wazee wa mkoa so mbeya nao watafikiwa tu.Kwanini asiongee na wazee wa Mbeya kwanza?
SureHapo kama wataingia 100 kwenye wiki mbili korona lazima ipunguzepo
Sawa MsigwaKila baada ya miez mitatu atakuwa anaongea na wazee wa mkoa so mbeya nao watafikiwa tu.
Mie sio, Mimi ni chawa wa kujitolea/volunteer wa maza.Sawa Msigwa
Sawa mkuuMie sio, Mimi ni chawa wa kujitolea/volunteer wa maza.
Wewe le mutuz uwe unasoma mada nzimaTaarifa nusunusu. Dar wapi na saa ngapi wazee tujisogeze?
Kwanini Uhuru haukupatikania Dodoma?Kwani Dodoma hakuna wazee?
Wazee wenyewe akina ayubu akili hamnaAmewapuuza wazee wa Dodoma!
😭😭😭
ni wazee gani hao huwa anaongea nao ?
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900...