Rais Samia Suluhu kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Ijumaa Mei 7, 2021

Nyumbu wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.

😂😂😂 hata mimi ningekuwa nyumbu ninge achana na lisu maana hakuna chochote cha maana cha kuzungumza kuhusu lisu.
 
wazee wenyewe ndio wale wa CCM waliokuwa wanasema mitano tena?
Hamn akitu hapo, waze wasiku hizi wameharibika sana.
 

😁😁 Mkuu hao jamaa sio riziki tena we samehetu.
Hakuna kitu chabure duniani wanajua wanavyo lipia.
Kilamtu anashangaa kwanini hawarudi home.
 
Wanasema utaratibu wa kuwaalika baadhi ya wazee ni vigezo gani wamezingatia?Wenye kujua matatizo ya wazee siyo hao walioalikwa
 
Siku nyingine rais akazungumze na wazee Mbeya, Songea au Tanga.
 
MATAGA unalo.
Kaombe Ruksa Chato kwanza.
Ruhusa ya nini
Na wewe TAGA?
Wanajua wenyewe!
 
Wazee watibiwe bure matibabu yoyote yale na wapewe kipaumbele cha juu
Pia walipwe kila mwezi pesa za kujikimu
 

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900...
Hao wazee wanahusiana na Uislamu?

Sheikh wa tena!?.
 
Mama Samia usiache kuhoji Lisu na Lema wanarudi lini Tanzania.

Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake...
Hakuna mtu mjinga fb na jamii forum kama huyu Etwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…