Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mkurugenzi wa TISS na CAG wakistaafu hawaruhusiwi kushika nyadhifa yoyote kwenye Utumishi wa Serikali ya JMTWewe nani kakwambia CAG akishastaafu haruhusiwi kufanya kazi yeyote ile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurugenzi wa TISS na CAG wakistaafu hawaruhusiwi kushika nyadhifa yoyote kwenye Utumishi wa Serikali ya JMTWewe nani kakwambia CAG akishastaafu haruhusiwi kufanya kazi yeyote ile?
Mama akimchagua kuwa katibu mkuu wizara ya fedha, gavana wa Benki Kuu ama CG wa TRA, itapendeza mno.Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Vijana mkipewa nafasi mnatuangusha, angalia vijana walioaminiwa na JPm, wengi wameitesa jamii.Lakini Mzee Assad alijipambanua kwa kuruka viunzi vya JPM na SpikaWazee wapo kazini miaka kibao, wamestaafu na kurudishwa, bado unapiga promo za wazee kurudishwa maofsini Wakati huo huo mnapiga kelele vijana hawana ajira???
Koma kabisa
Tatizo lipo kwa akina Ndugai! Wataanza kuweka figisu zao za kila aina ili tu kumkwamisha Rais na Mteule wake.Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Huu utawala hautabiriki hao wakina ndugai wanaenda na bit .ofcorse Mussa anaweza kusaidia mawili matatu kama atapewa nafasiTatizo lipo kwa akina Ndugai! Wataanza kuweka figisu zao za kila aina ili tu kumkwamisha Rais na Mteule wake.
Kwani amesema amechoka?
CAG haruhusiwi kuteuliwa kazi nyingine baada ya kustaafuTunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Katiba hairuhusu CAG kuteuliwa akishastaafuTunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Kwani alistaafu au alifukuzwa?Katiba hairihusu CAG mstaafu kupewa kazi taasisi ya umma.
Kwani alistaafu au alifukuzwa?Katiba hairuhusu CAG kuteuliwa akishastaafu
Wewe ndiye huyo Assaad nini maana kila siku ishu ni hiyo hiyo? Achana na ajira ututumie ujuzi wako kujiajiri.Mkurugenzi wa TISS na CAG wakistaafu hawaruhusiwi kushika nyadhifa yoyote kwenye Utumishi wa Serikali ya JMT
Muda wake wa awamu ya kwanza wa miaka mitano uliisha, mamlaka ya uteuzi ikateua mwingineKwani alistaafu au alifukuzwa?
Acha kutudanganya mkuu.watanzania na dunia nzima tunajuwa Assad aliondolewa kwa chuki na hasira za magufuli.Muda wake wa awamu ya kwanza wa miaka mitano uliisha, mamlaka ya uteuzi ikateua mwingine
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Sio kumchagua ni kumteua. Hivyo ni vitu viwili vyenye kubeba maana tofauti.Mama akimchagua kuwa katibu mkuu wizara ya fedha, gavana wa Benki Kuu ama CG wa TRA, itapendeza mno.
Wapi kila siku nimezungumzia Issue ya CAG Asaad mbona unakurupuka?Wewe ndiye huyo Assaad nini maana kila siku ishu ni hiyo hiyo? Achana na ajira ututumie ujuzi wako kujiajiri.
Kwani nchii ni Assad peke yake ndie anafaa,acha kupiga debe ,mwache assad aendelee kuswali na aisaidie misikiti.Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).