Sifahamu kama kuna cheo serekali cha namna hii, lakini nafasi kama hii ingeliwepo ingelimsaidia sana rais wetu katika kudhibiti hasa manunuzi kwa kuweka mipaka, hivyo chombo hiki kikawa kinafanya filtering ya bei na kutoa miongozo mbalimbali, inasikitisha sana kwa muheshimiwa rais kujitahidi kwa nguvu zote huku wachache wakiona ndio wakati wao sahihi wa kufanya sabotage, Asad akiwepo kwa taaluma yake hakika rais wetu atakuwa na amani wakati wote, pia Prof Asad ni muislam safi kabisa, tukumbuke wenzetu wamelelewa katika utu zaidi na imani ya duniani sisi si lolote tunapita tu.
Wasalaam tupige soga!