Rais Samia Suluhu mteue Prof. Mussa Assad katika nafasi yoyote ile atakusaidia sana

Kwani nchii ni Assad peke yake ndie anafaa,acha kupiga debe ,mwache assad aendelee kuswali na aisaidie misikiti.
Sasa kuswali na misikiti inaingiaje hapa? au mna agenda ya siri nyie wagalatia ndio maana mnapingana na mtoa hoja?
 
Acha kutudanganya mkuu.watanzania na dunia nzima tunajuwa Assad aliondolewa kwa chuki na hasira za magufuli.

Unamjua Assad vizuri na kashfa zake. Chuki zako za kijinga kwa JPM zisikufanye umpe utakatifu mtu hata usiyemjua. Wewe mtu akindikwa kuwa alisema jambo fulani na ukaona Hilo lilipingana na JPM Basi kwako anafaa. Kua kwanza. Huyo hafai hata kumung‘unyia pipi.
 
Hakunaga kitu kama hicho...katiba imeshafanya yake.

Unachotaka ni kumpotosha Mhm Rais avunje katiba.

Mbona vijana hawataajiriwa kama vijana mnapigia promo wastaafu kurudi kazini??

Everyday is Saturday............................... 😎
Kwanza katiba hairuhusu na pili hakustaafu alifukuzwa na yeye alikiri kuwa alifukuzwa na mwendazake akasema hadharani kama anao uwezo wa kukuteua basi anao uwezo wa kukutengua, ukweli utabaki palepale jamaa ni jembe
 
Unamjua Assad vizuri na kashfa zake. Chuki zako za kijinga kwa JPM zisikufanye umpe utakatifu mtu hata usiyemjua. Wewe mtu akindikwa kuwa alisema jambo fulani na ukaona Hilo lilipingana na JPM Basi kwako anafaa. Kua kwanza. Huyo hafai hata kumung‘unyia pipi.
Kashfa za Assad? Mzee acha uongo na chuki za kipuuzi
 
Kwanza katiba hairuhusu na pili hakustaafu alifukuzwa na yeye alikiri kuwa alifukuzwa na mwendazake akasema hadharani kama anao uwezo wa kukuteua basi anao uwezo wa kukutengua, ukweli utabaki palepale jamaa ni jembe
Unachekesha hakuna anayesema Prof ni kilaza, suala lililopo, hujui kilichoendelea, umri wa kustaafu ulifika Au mkataba ulikwisha, hakuongezewa muda..
Kikatiba CAG akishateuliwa labda afe hakuna wa kumtengua, process ngumu SANA.
Hakuteuliwa na mwendazake, huyu aliteuliwa na JK kama nakumbuka vizuri.

Punguza mahaba! Utaelewa WHY hawezi kupewa nafasi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Katiba inamg
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.

Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.

CAG haezi kuteuliwa nafasi nyingine yoyote
 
Unachekesha hakuna anayesema Prof ni kilaza, suala lililopo, hujui kilichoendelea, umri wa kustaafu ulifika Au mkataba ulikwisha, hakuongezewa muda..
Kikatiba CAG akishateuliwa labda afe hakuna wa kumtengua, process ngumu SANA.
Hakuteuliwa na mwendazake, huyu aliteuliwa na JK kama nakumbuka vizuri.

Punguza mahaba! Utaelewa WHY hawezi kupewa nafasi.

Everyday is Saturday............................... 😎
Nimebisha kuwa hawezi kupewa nafasi? Pia nilipomaanisha kama ana uwezo wa kukutea basi ana uwezo wa kukutengua namaanisha raisi, aliteuliwa na jk(raisi) hakuongezewa muda na mwendazake(raisi) CAG kwa katiba yetu huwa wana term mbili na karibia wote waliotangulia kabla ya Assad walihudumu term zote mbili kasoro Assad na sababu ya kutenguliwa Assad ni kusema bunge dhaifu
 
CAG mstaafu hawezi kushika nafasi ya kuajiriwa tena Serikalini. Muacheni apumzike.

Hata kama angekuwa bado anaajirika, kuna waTZ wengine wengi tu wana sifa na uwezo wa kufanya makubwa zaidi. Hatuwezi kuendelea kurecycle watu walewale jamii ya akina Mkuchika
 
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.

Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Taratibu haziruhusu yeye kuteuliwa tena katika nafasi yoyote! Kasha gota mwisho
 
Wazee zama zao zimekwisha ni wakati wa vijana sasa.Juzi nilishangaa sana eti Mkuchika kapewa wizara 😁😁, mbabu yule hata kumbukumbu zimeanza kupotea bado anapewa majukumu mazito, mwacheni alee vitukuu ubunge unamtosha jamani
 
NSSF ikaguliwe, special audit...waangalie ulipaji wa mafao

FAO LA KUJITOA
 
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.

Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Akimteua mtasema kwa sababu ya Dini yake.
Ebu tumsimpangie Mh. Rais nini cha kufanya.
 
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.

Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Wewe ni Assad mwenyewe unajipigia promo. Njaa mbaya sana aise.
 
Eti alionyesha msimamo
aliulizwa mbeli ya PILATO
eti CAG kuna upotevu wa T.1.5 sijui aliogopa akakana mbele ya pilato hakuna upotevu nikasema ukitaka kupima msimamo wa mtu ni kumuuliza hadharani tu
Lile swali alivyoulizwa alijibu very technical kama vipi pitia Tena Ile video utajua,mm Hadi nilicheka
 
Back
Top Bottom