Rais Samia Suluhu mteue Prof. Mussa Assad katika nafasi yoyote ile atakusaidia sana

Mama akimchagua kuwa katibu mkuu wizara ya fedha, gavana wa Benki Kuu ama CG wa TRA, itapendeza mno.
 
Hakunaga kitu kama hicho...katiba imeshafanya yake.

Unachotaka ni kumpotosha Mhm Rais avunje katiba.

Mbona vijana hawataajiriwa kama vijana mnapigia promo wastaafu kurudi kazini??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wazee wapo kazini miaka kibao, wamestaafu na kurudishwa, bado unapiga promo za wazee kurudishwa maofsini Wakati huo huo mnapiga kelele vijana hawana ajira???

Koma kabisa
Vijana mkipewa nafasi mnatuangusha, angalia vijana walioaminiwa na JPm, wengi wameitesa jamii.Lakini Mzee Assad alijipambanua kwa kuruka viunzi vya JPM na Spika
 
Tatizo lipo kwa akina Ndugai! Wataanza kuweka figisu zao za kila aina ili tu kumkwamisha Rais na Mteule wake.
 
Tatizo lipo kwa akina Ndugai! Wataanza kuweka figisu zao za kila aina ili tu kumkwamisha Rais na Mteule wake.
Huu utawala hautabiriki hao wakina ndugai wanaenda na bit .ofcorse Mussa anaweza kusaidia mawili matatu kama atapewa nafasi
 
CAG haruhusiwi kuteuliwa kazi nyingine baada ya kustaafu
 
Katiba hairuhusu CAG kuteuliwa akishastaafu
 
Mkurugenzi wa TISS na CAG wakistaafu hawaruhusiwi kushika nyadhifa yoyote kwenye Utumishi wa Serikali ya JMT
Wewe ndiye huyo Assaad nini maana kila siku ishu ni hiyo hiyo? Achana na ajira ututumie ujuzi wako kujiajiri.
 
Muda wake wa awamu ya kwanza wa miaka mitano uliisha, mamlaka ya uteuzi ikateua mwingine
Acha kutudanganya mkuu.watanzania na dunia nzima tunajuwa Assad aliondolewa kwa chuki na hasira za magufuli.
 

Hayati Magufuli :Eti CAG kuna upotevu Trilion 1.5?


CAG Assad :Hapana mkuu taarifa hizo si za kweli.


CCM mbele kwa mbele
 
Mama akimchagua kuwa katibu mkuu wizara ya fedha, gavana wa Benki Kuu ama CG wa TRA, itapendeza mno.
Sio kumchagua ni kumteua. Hivyo ni vitu viwili vyenye kubeba maana tofauti.
 
Wewe ndiye huyo Assaad nini maana kila siku ishu ni hiyo hiyo? Achana na ajira ututumie ujuzi wako kujiajiri.
Wapi kila siku nimezungumzia Issue ya CAG Asaad mbona unakurupuka?

Angalia niliyemqoute ndo ujue msingi wa andiko langu.
 
Kwani nchii ni Assad peke yake ndie anafaa,acha kupiga debe ,mwache assad aendelee kuswali na aisaidie misikiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…