Sasa kuswali na misikiti inaingiaje hapa? au mna agenda ya siri nyie wagalatia ndio maana mnapingana na mtoa hoja?Kwani nchii ni Assad peke yake ndie anafaa,acha kupiga debe ,mwache assad aendelee kuswali na aisaidie misikiti.
Acha kutudanganya mkuu.watanzania na dunia nzima tunajuwa Assad aliondolewa kwa chuki na hasira za magufuli.
Kwanza katiba hairuhusu na pili hakustaafu alifukuzwa na yeye alikiri kuwa alifukuzwa na mwendazake akasema hadharani kama anao uwezo wa kukuteua basi anao uwezo wa kukutengua, ukweli utabaki palepale jamaa ni jembeHakunaga kitu kama hicho...katiba imeshafanya yake.
Unachotaka ni kumpotosha Mhm Rais avunje katiba.
Mbona vijana hawataajiriwa kama vijana mnapigia promo wastaafu kurudi kazini??
Everyday is Saturday............................... π
Kwani alistaafu au alifukuzwa?
Assad sasahivi yupo MUM idara ya fedhaWewe ndiye huyo Assaad nini maana kila siku ishu ni hiyo hiyo? Achana na ajira ututumie ujuzi wako kujiajiri.
Kashfa za Assad? Mzee acha uongo na chuki za kipuuziUnamjua Assad vizuri na kashfa zake. Chuki zako za kijinga kwa JPM zisikufanye umpe utakatifu mtu hata usiyemjua. Wewe mtu akindikwa kuwa alisema jambo fulani na ukaona Hilo lilipingana na JPM Basi kwako anafaa. Kua kwanza. Huyo hafai hata kumungβunyia pipi.
Nakushukuru mkuu kwa masahihisho.Sio kumchagua ni kumteua. Hivyo ni vitu viwili vyenye kubeba maana tofauti.
Unachekesha hakuna anayesema Prof ni kilaza, suala lililopo, hujui kilichoendelea, umri wa kustaafu ulifika Au mkataba ulikwisha, hakuongezewa muda..Kwanza katiba hairuhusu na pili hakustaafu alifukuzwa na yeye alikiri kuwa alifukuzwa na mwendazake akasema hadharani kama anao uwezo wa kukuteua basi anao uwezo wa kukutengua, ukweli utabaki palepale jamaa ni jembe
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
CAG haezi kuteuliwa nafasi nyingine yoyote
Nimebisha kuwa hawezi kupewa nafasi? Pia nilipomaanisha kama ana uwezo wa kukutea basi ana uwezo wa kukutengua namaanisha raisi, aliteuliwa na jk(raisi) hakuongezewa muda na mwendazake(raisi) CAG kwa katiba yetu huwa wana term mbili na karibia wote waliotangulia kabla ya Assad walihudumu term zote mbili kasoro Assad na sababu ya kutenguliwa Assad ni kusema bunge dhaifuUnachekesha hakuna anayesema Prof ni kilaza, suala lililopo, hujui kilichoendelea, umri wa kustaafu ulifika Au mkataba ulikwisha, hakuongezewa muda..
Kikatiba CAG akishateuliwa labda afe hakuna wa kumtengua, process ngumu SANA.
Hakuteuliwa na mwendazake, huyu aliteuliwa na JK kama nakumbuka vizuri.
Punguza mahaba! Utaelewa WHY hawezi kupewa nafasi.
Everyday is Saturday............................... π
Taratibu haziruhusu yeye kuteuliwa tena katika nafasi yoyote! Kasha gota mwishoTunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Akimteua mtasema kwa sababu ya Dini yake.Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Wewe ni Assad mwenyewe unajipigia promo. Njaa mbaya sana aise.Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Lile swali alivyoulizwa alijibu very technical kama vipi pitia Tena Ile video utajua,mm Hadi nilichekaEti alionyesha msimamo
aliulizwa mbeli ya PILATO
eti CAG kuna upotevu wa T.1.5 sijui aliogopa akakana mbele ya pilato hakuna upotevu nikasema ukitaka kupima msimamo wa mtu ni kumuuliza hadharani tu
π€£π€£π€£π€£Kwani amesema amechoka?