Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Lingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
Sorry na samahani sana. Sidhani mtoa post ni Chadema. Sio kila mwenye post zinazo kinzana ni Chadema. Kuweni constructive badala ya kuwa political dudes muda wote

Sijaona mahali popote mtoa post alipo jitambulisha kama ni Chadema
 
Bora limaliziwe tu, kuachia katikati ni hasara

Baada ya hapo kanda ya ziwa wasipewe mradi mwingine utakao gharimu pesa nyingi
 
Umejuaje aisee Kama Kuna viongozi waliwekwa kwenye taasisi za umma kwa sababu ya kuwaepower watu wanaotokea ukanda pendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unatumia kichwa cha juu kufikiria kabla ya kupost humu, nani aliyekuambia kuwa hilo daraja likikamilika watalitumia wakwe wa JPM pekeyao?
 
Punguza uchawi na roho mbaya.
 
Nimechelewa kuja kutukana tu naona matusi yotee ushapata
 
Mleta mada nakuheshimu sana, kwenye hili hujaandika kwa kutumia akili yakk binafsi, hebu pumzika kwanza. Itendee haki akili yako
 
Hiyo ni project muhimu Sana, hujajua njia hiyo inaunganisha nchi Tatu, njia hiyo inafikia kupitia Mtukula kwenda Uganda, inaunganisha Karagwe mpaka kuingia Rwanda, barabara hiyo inaingia Burundi. Ni njia muhimu Sana kiuchumi.
 
Nakubaliana na wewe kwenye marekebisho. Inaonyesha wazi kuwa siyo kila alichoanzisha Magufuli ni cha kuenzi.
 
Hapa ndio nami aliponiumiza huyu mzee wetu, wasukuma wote niliosoma nao wameajiriwa wakati Mimi naendelea kuzulura tu na baasha ya kaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Kwanini iwe ni lazima wakati Rais ana mamlaka ya kuendeleza mipango ya mtangulizi wake ama aitupilie mbali hakuna sheria inayomlazimisha.
 
Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!

Hela zipo au mnaleta hekaya?
 
Kilombero washawekewa daraja na linaitwa Magufuli, Pangani mpango ushawekwa na hata picha ya daraja tayari. Mungu kamchukua mipango haijatimia, hajabaguliwa mtu kagusa kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…