Roho yangu mbaya
Senior Member
- Mar 22, 2021
- 168
- 297
Roho mbaya haijengi.Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Nyie jamaa watanzania tulikua sahihi kuwapiga chini nyie. Ni afadhali kuwapiga chini nyie tena kuliko kupiga chini usemacho....miradi yote itakamilika, subirini kama nchi italaaniwa na Mungu mkipata kuongoza nchi mtaenda libomoa...Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Lamebrain!Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Sengerema ni mkoa? Linaunganisha mkoa wa Mwanza na Geita...Mmmhh mkoa wa Mwanza na Geita? Ukivuka unaingia Sengerema ndugu siyo Geita. Ukiimaliza Sengerema ndio unaanza ..Geita
CHADEMA watu wabaya sana, nimejua kwanini hayati amewafutilia mbali..
Walikuwepo wapi wakati spika alikuwa anawafukuza kila siku ili wapitishe chochote bila kuhojiwa?Tena akina Lema Mbowe, Mdee, Sugu wote walikuwepo bungeni!
Ukisoma mawazo ya wafuasi wa CHADEMA ktk matukio kama haya ndio utaelewa kwa nini ruzuku zote hutafunwa kwa amani. Nadhani mfumo umetuokoa kutawaliwa na mbumbumbu wa nchi hii. Ni vizuri vyama vya maana vianze na kuachana na wapuuzi hawa.CHADEMA watu wabaya sana, nimejua kwanini hayati amewafutilia mbali..
Haya ndio matatizo ya kutokusoma geography na civics vizuri.
Kazi kukaa na wazee wakishalewa mbege na ulanzi wanaanza kukulisha pumba na upuuzi mwingine. Wewe kwa akili yako nyepesi Busisi, Geita na mwanza sio sehemu ya Tanzania au?!
Hebu muwe mnasali kabla ya kuandika nyuzi JF at least kufukuza pepo mbaya wa ubaguzi wa aina yoyote.
Aaaaaaaaah halafu nusu nisahau kukuuliza?!
Wewe ni raia wa Tanzania kweli?! Wazazi wako je?!
Huo mradi hata ukiendelezwa hauna maana yoyote ile kwani tozo za kuvukia pale walalahoi watalazimika kurudi kwenye kivuko. Mradi wa trilioni 1 tungeamua kuweka vivuko pale vya kisasa na fedha nyingine kuelekezwa kwingine ingegharimu nini? Pale hakuna msongamano ila shida ni uhaba wa vivuko. Nakuambieni kuwa ule mradi ni wa hovyo hovyo!Huo Mradi utakuwa ni mkombozi kama vile Daraja la Mkapa kule Sauzi Nadhani yale Madege yaliyopaki ndio yapigwe mnada
Kwani Sengerema ni mkoa?Mmmhh mkoa wa Mwanza na Geita? Ukivuka unaingia Sengerema ndugu siyo Geita. Ukiimaliza Sengerema ndio unaanza ..Geita
Kumbe huyu jamaa ni mshamba na hajui kitu, wenzio ilo daraja ndio mtaji wa kura 2025,Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Muelewe mtoa postMmmhh mkoa wa Mwanza na Geita? Ukivuka unaingia Sengerema ndugu siyo Geita. Ukiimaliza Sengerema ndio unaanza ..Geita
Cha muhimu ni tuendelee kudai Katiba MpyaHuo mradi hata ukiendelezwa hauna maana yoyote ile kwani tozo za kuvukia pale walalahoi watalazimika kurudi kwenye kivuko. Mradi wa trilioni 1 tungeamua kuweka vivuko pale vya kisasa na fedha nyingine kuelekezwa kwingine ingegharimu nini? Pale hakuna msongamano ila shida ni uhaba wa vivuko. Nakuambieni kuwa ule mradi ni wa hovyo hovyo!
Basi mzee wetu alikua na uthubutu mkubwa Sana, apumzike kwa amaniAmefanya kazi nzuri sana kwa taifa letu. Very well.
Ila kusema kuwa hakuna kiongozi wa Afrika ameweza kufanya kama yeye that a lie bro.
Correct me if I'm wrong. Egypt na Nigeria wana madaraja marefu zaidi Africa yanayo inganisha miji. Na wenzetu walijenga muda kidogo kabla yetu.