Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Efficacy level ya chanjo ya Oxford AstraZeneca inayotumika Uingereza ni around 72% maana yake ni kuwa hata ukichanjwa bado kuna chance ya kama 30% kupata Covid-19.Lakini wataichukulia hivyo baada ya watu wao kuwa wamepata hizo chanjo, mbona hilo hujalisema?!!
Nchi nyingi hujiweka lengo la kuchanja watu kwa walau 60% ya general population ili kujenga "herd immunity" ssasa hebu niambie kwa efficacy level ya 72% nchi itawrxaji kufikisha 60% herd immunity ya general population?
Walau chanjo za Pfizer, Moderna na Sputnik V ndizo kidogo zinaweza kusaidia kwakua efficacy level zake no above 90%.
Wataalamu wetu wawe makini ktk kumshauri mana kwenye hili.