#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

Wanapuuzia tu. Tz suala la Corona siyo kipaumbele. Wewe jali maisha yako na uamuzi wa kuvaa barakoa ni wako. Corona ipo na tujifunze kuishi nayo kwa tahadhari.
Unavaa barakoa afu unaenda kumla denda bar maid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanapuuzia tu. Tz suala la Corona siyo kipaumbele. Wewe jali maisha yako na uamuzi wa kuvaa barakoa ni wako. Corona ipo na tujifunze kuishi nayo kwa tahadhari.
Sasa mnatuambia tukitaka kujua kama corona ipo tuwaulize madaktari ila hao madaktari wenyewe ndio hao wanaopotezea corona.
 
PHawataki kufuata maelekezo ya WHO kuhusu kupima kutoa data kujikinga na maambukizi ya covid-19 kama kuvaa barakoa social distancing na sanitizer. Kazi ya kamati itakuwa kuendeleza msimamo huo.
WHO ni wakala wa mabeberu!! Wasitupangie!!Mabeberu wamejipanga kupiga hela ya wajinga kupitia corona!! Wana hasiraTanzania tumewabania! Wamejipanga kupiga pesa kupitia upimaji wa kudumu, Chanjo, na uvaaji Wa barakoa!
 
Mkuu wewe ni Mwongo kusema kakurupuka. Ulitaka afanyeje kwenye hali aliyoikuta?
Angeanza kuvaa hata barakoa kwanza yeye ili tujue kweli yupo serious,kuna vitu hata huhitaji kusubiri uunde kamati ndio wataalamu wakwambie,ila sasa yeye mwenyewe tu havai barakoa wala hajaona shida wanavyokusanyana wenyewe hadi sasa bila tahadhari.

Mpaka hapo tuwaelewe wanaichukulia vp corona?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Kuna familia haijawahi kufiwa bana wewe kifo cha aina yoyote? Kifo ni kifo tu havizidiani, na after all kufa huwa lazima. Acheni siasa
Muulize anafahamu ukubwa wa hatari ya malari nchini?
Jinsi watoto wanavyopoteza uhai?
Wakina mama wajawazito?

Acha tuu twende na biti
 
Mtasikiaje wakati hairuhusiwi kutangaza?
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,

je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
 
SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Wacha kutoa pumba hapa. Usipopendezewa mfuate Magufuli tulipomfukia Chato mkaendeleze hizo propaganda
 
SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.

Watz bado wako kwenye usingizi mzito, hata wakipewa taarifa ni kazi bure maana bado wana matatizo mengi kuliko hiyo corona.
 
Kusema hata kwenye vijiwe vya kahawa si tunasema tu. Kamati itakuwa rasmi na taarifa zao zitatoka kwa wataalamu hivyo pia zitakuwa rasmi..Sisi wa kahawa tungekaa pembeni tu.
Hao hao wanaotaka kuunda kamati ya corona ndio hao hao walikuwa wanatuambia Corona ipo kidogo halafu wewe unasema sie tukae pembeni,hadi sasa hao wanaotaka kuunda hiyo kamati hawaonishi kujali kwa kufuata njia za kisayansi za kujikinga na corona hata kwa kuvaa barakoa tu na social distance.
 
Waliokuwa wanatangaza humu waliruhusiwa? Hebu usilete ubishi usiokuwa na tija

Huku ni hospitali au mamlaka za kutangaza mpaka ifahamike kiwango cha huo ugonjwa?
 
SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Izo ARV wanazotumia nduguzako na iyo internet na icho kisimu chako na ako ka gari ni vya wazungu bila etu wazungu hawana mamana izo akili au matope
 
Back
Top Bottom