Facts about Covid-19:
Recovery cases/wanaopona za wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 90% ya cases zote.
Severe cases za wagonjwa wa Covid-19 zinazoweza sababisha vifo ni less than 10 %
Kwa takwimu hizo, kwenye nchi kama Kenya, ajali za barabarani na Cholora au Malaria vinaua watu wengi kwa mwaka kuliko Covid-19.
Hakuna chanjo inayoweza kutibu variants zote za Covid-19 na mpaka sasa ziko zaidi ya variants 10.
Hii ndio sababu mganga mkuu wa Serikali ya Uongereza amesema wataanza kuchukulia Covid-19 kama magonjwa mengine ya mafua, because it is here to stay with us for a very long time.