Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
msimamo wa serikali ni kutokutangaza kifo chochote kinachohusiana na covid.Mbona hatusikii hata mtaani achilia mbali huko kutangazwa!! Yaani corona unaweza kuficha kishindo chale kweli mpaka iyo kamati ndo ije itupige sound?
hatusikii mtaani? nani atatangaza sasa?
ofisin tumepoteza watu watano ndani ya muda mfupi. wawili wakiwa wakuu wa idara.
na ni confirmed case.
jist because husikii mtaani kwako. haimaanish kwingine hakutokei.