#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

unataka watangaze ili iweje? kwasababu hajasikia haimaanish watu hawafi.
kamati itakayoundwa ni ku asses impact ya corona nchini ktk nyanja zote. then watatoa suggestion nn kifanyike
Kuna settings allowance! ?
 
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,

je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?

Unamaana mwendazake kaondoka na Corona vikiwamo vya changamoto za kupumua?

Hiiiiii bagosha.

Pita mitaa ya masaki tuko msibani hapa.

Kwanini akili zenu ni finyu namna hii?
 
SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.

Unamaana anatumiwa na mabeberu?

Ya kuwa mzalendo ni wewe na wenzako pale Chatto?

Hivi ni kweri mnajiona kuwa mko vizuri kwa dhati kabisa?

Hiiiiii bagosha!
 
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,

je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Corona ipo, na itaendelea kuwepo!!kamati lazima iundwe ili tupate uelekeo maalum, sio mambo yale ya kupinga sayansi, na hao waliokuwa wanamjaza upepo meko wameshamkimbia!!!chanjo lazima itumike kwa yule atakayehitaji.
 
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,

je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Kwani utavisikia wapi wakati hatutangaziwi? Akifa mwenye Korona atazikwa kawaida tu.

Kwa sasa Corona ipo sema imepungua. Ukitaka kujua ukweli ukimpata mtumishi wa hospital kama za DSM -Hindumandal, Aghakan, Amana, Temeke, Mwananyamala, Rabinsia, Bochi n.k utajua hali ilivyo.

Tuendelee kuchukua tahadhari kwa kuzingatiaa masharti ya kujikinga na Corona.
 
Facts about Covid-19:
Recovery cases/wanaopona za wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 90% ya cases zote.

Severe cases za wagonjwa wa Covid-19 zinazoweza sababisha vifo ni less than 10 %

Kwa takwimu hizo, kwenye nchi kama Kenya, ajali za barabarani na Cholora au Malaria vinaua watu wengi kwa mwaka kuliko Covid-19.

Hakuna chanjo inayoweza kutibu variants zote za Covid-19 na mpaka sasa ziko zaidi ya variants 10.

Hii ndio sababu mganga mkuu wa Serikali ya Uongereza amesema wataanza kuchukulia Covid-19 kama magonjwa mengine ya mafua, because it is here to stay with us for a very long time.
Lakini wataichukulia hivyo baada ya watu wao kuwa wamepata hizo chanjo, mbona hilo hujalisema?!!
 
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,

je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?

Usichukulie poa ndugu tupo kwenye mazishi hapa Iringa, siku Mwendazake amakufa siku hiyo nilitoka kuaga msiba wa mjomba wake wife alifia Muhimbili, Baada ya siku 4 nimlizika Mama Mkwe wangu kupeleka Rombo naye alifia muhimbili, Siku hiyo hiyo alikufa mkurugenzi wa Dodoma Mzee Sam, 23 march jamaa yangu alifiwa na mama yake Dodoma wakazika BK tarehe 28 march tuka mzika mdogo wake ambaye alikuwa anamuhidumia mama nake alisafirishwa kwenda BK.
 
Lakini wataichukulia hivyo baada ya watu wao kuwa wamepata hizo chanjo, mbona hilo hujalisema?!!

Akilisema hilo hata wale mbumbumbu wa kwetu chattle wataelewa kuwa wanaingizwa chaka kwa nguvu!
 
Hiyo kamati ndio itakayotuambia kama watu hawafi tena, sio wewe.
Kwahiyo kujua wanaokufa kwa corona haihtaji hadi kamati iseme maana hata Magufuli inasemwa kafa kwa corona ila kusema hawafi kwa corona ndio hadi kusubiri kamati ije kusema?
 
Corona ipo, na itaendelea kuwepo!!kamati lazima iundwe ili tupate uelekeo maalum, sio mambo yale ya kupinga sayansi, na hao waliokuwa wanamjaza upepo meko wameshamkimbia!!!chanjo lazima itumike kwa yule atakayehitaji.
Waziri wa mambo ya nje(mpya) wakat anaapa bungeni alivaa barakoa ila alipoenda Ikulu kuapa hakuvaa barakoa,sasa sijaelewa kwamba hadi sasa bado kuna uoga wa kuvaa barakoa au ndio hadi kamati ije kushauri kuvaa barakoa?
 
Kwahiyo kujua wanaokufa kwa corona haihtaji hadi kamati iseme maana hata Magufuli inasemwa kafa kwa corona ila kusema hawafi kwa corona ndio hadi kusubiri kamati ije kusema?
Kusema hata kwenye vijiwe vya kahawa si tunasema tu. Kamati itakuwa rasmi na taarifa zao zitatoka kwa wataalamu hivyo pia zitakuwa rasmi..Sisi wa kahawa tungekaa pembeni tu.
 
unataka watangaze ili iweje? kwasababu hajasikia haimaanish watu hawafi.
kamati itakayoundwa ni ku asses impact ya corona nchini ktk nyanja zote. then watatoa suggestion nn kifanyike
watu konachowaua kwenye nchi za jirani especially waliokua na magonjwa nyemelezi ni psychological shock na hofu bora life style lao lingeendelea kama kawaida sisi takwimu hatuzitaki zitazuua taharuki bora tuendelee na maisha yetu kama tulivyozoea
 
Kwani utavisikia wapi wakati hatutangaziwi? Akifa mwenye Korona atazikwa kawaida tu.

Kwa sasa Corona ipo sema imepungua. Ukitaka kujua ukweli ukimpata mtumishi wa hospital kama za DSM -Hindumandal, Aghakan, Amana, Temeke, Mwananyamala, Rabinsia, Bochi n.k utajua hali ilivyo.

Tuendelee kuchukua tahadhari kwa kuzingatiaa masharti ya kujikinga na Corona.
Hapa nipo muhimbili na sina barakoa wakati zamani ilikuwa hata getini huingii bila barakoa, je ndio kwa sababu corona imepungua kwahiyo hivyo barakoa sio muhimu sana hata huku hospitali?
 
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,

je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Tuna zaidi ya siku 20 hatujapata taarifa ya kifo kilichotokana na changamoto ya covid. Hii maana yake Nini?
 
Hawataki kufuata maelekezo ya WHO kuhusu kupima kutoa data kujikinga na maambukizi ya covid-19 kama kuvaa barakoa social distancing na sanitizer. Kazi ya kamati itakuwa kuendeleza msimamo huo.
acha ujinga hakuna aliezuia kuvaa barakoa,serkali ilitoa muongozo kweny nyumba za ibada na maeneo mengine kusiwe na misongamano ulikua huez kupata huduma yoyote ya kijamii bila barako usijiaahaulishe kwa unafiki wako hatua zote zilifatwa ila msimamo wa magufuli ni kwamba tanzania na watanzania hawataeza kujifungia ndani kwa kuogopa mafua ya corono...
 
Back
Top Bottom