crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Majority is relative. Inategemea umeipimaje na umeipimia wapi.nimetumia sisi kwa sababu ya majority rule..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majority is relative. Inategemea umeipimaje na umeipimia wapi.nimetumia sisi kwa sababu ya majority rule..
Mbona wewe unatumia lugha ya wazungu, je unataka recognition yao?SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Pumbafusana wew lisukumaHao waliokufa ofisini walizikwa huko huko ofisini? Mtaani hawakuletwa?
Unavaa barakoa afu unaenda kumla denda bar maid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanapuuzia tu. Tz suala la Corona siyo kipaumbele. Wewe jali maisha yako na uamuzi wa kuvaa barakoa ni wako. Corona ipo na tujifunze kuishi nayo kwa tahadhari.
Sasa mnatuambia tukitaka kujua kama corona ipo tuwaulize madaktari ila hao madaktari wenyewe ndio hao wanaopotezea corona.Wanapuuzia tu. Tz suala la Corona siyo kipaumbele. Wewe jali maisha yako na uamuzi wa kuvaa barakoa ni wako. Corona ipo na tujifunze kuishi nayo kwa tahadhari.
WHO ni wakala wa mabeberu!! Wasitupangie!!Mabeberu wamejipanga kupiga hela ya wajinga kupitia corona!! Wana hasiraTanzania tumewabania! Wamejipanga kupiga pesa kupitia upimaji wa kudumu, Chanjo, na uvaaji Wa barakoa!PHawataki kufuata maelekezo ya WHO kuhusu kupima kutoa data kujikinga na maambukizi ya covid-19 kama kuvaa barakoa social distancing na sanitizer. Kazi ya kamati itakuwa kuendeleza msimamo huo.
Angeanza kuvaa hata barakoa kwanza yeye ili tujue kweli yupo serious,kuna vitu hata huhitaji kusubiri uunde kamati ndio wataalamu wakwambie,ila sasa yeye mwenyewe tu havai barakoa wala hajaona shida wanavyokusanyana wenyewe hadi sasa bila tahadhari.Mkuu wewe ni Mwongo kusema kakurupuka. Ulitaka afanyeje kwenye hali aliyoikuta?
SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Kwa hiyo tabia ya kuficha taarifa ipoMATAGA Mlificha takwimu za UVIKO na mkaichezea hadi ilipowachapa waliokua wanawapa kichwa! Kwanza nani kakuambia watu hawafi na hizo changamoto za upumuaji?
Kwani wewe ni mgeni kwenye suala la ufichaji wa takwimu kwenye kila kituKwa hiyo tabia ya kuficha taarifa ipo
Walitunzwa kwenye ndoo ya uchafuHao waliokufa ofisini walizikwa huko huko ofisini? Mtaani hawakuletwa?
Muulize anafahamu ukubwa wa hatari ya malari nchini?Kuna familia haijawahi kufiwa bana wewe kifo cha aina yoyote? Kifo ni kifo tu havizidiani, na after all kufa huwa lazima. Acheni siasa
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Wacha kutoa pumba hapa. Usipopendezewa mfuate Magufuli tulipomfukia Chato mkaendeleze hizo propagandaSSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Waliokuwa wanatangaza humu waliruhusiwa? Hebu usilete ubishi usiokuwa na tijaMtasikiaje wakati hairuhusiwi kutangaza?
SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Hao hao wanaotaka kuunda kamati ya corona ndio hao hao walikuwa wanatuambia Corona ipo kidogo halafu wewe unasema sie tukae pembeni,hadi sasa hao wanaotaka kuunda hiyo kamati hawaonishi kujali kwa kufuata njia za kisayansi za kujikinga na corona hata kwa kuvaa barakoa tu na social distance.Kusema hata kwenye vijiwe vya kahawa si tunasema tu. Kamati itakuwa rasmi na taarifa zao zitatoka kwa wataalamu hivyo pia zitakuwa rasmi..Sisi wa kahawa tungekaa pembeni tu.
Waliokuwa wanatangaza humu waliruhusiwa? Hebu usilete ubishi usiokuwa na tija
Izo ARV wanazotumia nduguzako na iyo internet na icho kisimu chako na ako ka gari ni vya wazungu bila etu wazungu hawana mamana izo akili au matopeSSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.