Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

"If it looks like a duck and quacks like a duck,we have at least to consider the possibility that we have a small aquatic bird of the family anatidae on our hands".-Douglas Adams

Tayari mmechoka kukata viuno! Mbona mapema sana.
 
Vyama vingi vimeanza mwaka 1992,miaka 30 baada ya uhuru(sawa na chaguzi 6 za miaka mitanomitano.
Hiyo miaka 30 CCM walikuwa wapi kujenga uchumi?

Na je bungeni miaka yote CCM ni wengi zaidi na hivyo hufanya maamuzi wao tu.
Mbona sasa maendeleo ya uchumi hayaridhishi?
Ndiyo maana lazima tupate mawazo mapya yatokanayo na KATIBA mpya.





NB: No any system can oppose the nature or change, regardless of it's strength.
 
Mimi binafsi naamini mawazo haya mama aneshauriwa na wanaCCM.
Hawa ndio wa kuwalaumu.
On the other hand,maamuzi haya ni kwa maslahi ya chama tawala, CCM.
 
Wewe unaishi USA? Fool.
 

 
Hahaha kiongozi mzuri ni yule msikivu na asiyefanya mambo kwa kukurupuka. Mpeni muda
 
Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
Kapotoka kwa kuvunja katiba aliyoapa kuilinda
 
Wacha kudanganya, Trump kakusanya watu juzi kwa mikutano tu, na anaendelea na siasa wewe vp. Jamani nafikiri tujaribu kuheshimu na kufuata katiba zetu, hata kwa hii mbovu tuliyonayo.
Hii ni ya pili baada ya kushidwa kuwang'oa covid -19 buhgeni na hili la mikutano
 
Kesi ya kuvamia bunge la Marekani hujaisikia?
 
Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
Anazingua Sana demokrasia inazuia maendeleo gani? Ccm miaka yote hiyo wameleta maendeleo yapi?

Au labda kuna utafiti ulifanywa na makada wa ccm kwamba demokrasia inarudisha nyuma maendeleo,tuwekeeni hapa huo utafiti wenu.
 
Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta
Hahahaha haa..
Anaonyesha njia kwa wenzie🙄
 
Mimi ni mwana CCM. Kinachomtokea leo Mama Samai tulimtahadharisha, akayudharau. Akafikiri ninyi mliokuwa mnamshabikia ndio wazuri. Leo sasa, ndio mmemjua vizuri na yeye anawajua vizuri. Binafsi nitaendelea kukitetea chama changu CCM na Serikali yake lakini sitamtetea Mama Samoa. Ajitetee mwenyewe!!!
 
Katiba itoe tafsiri ya maana ya shughuli za kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…