Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
Mama amezuia mkutano wa Chadema wa Bawacha kwa kutumia polisi

Mambo ni moto

Ameanza kazi mkuu
 
Wanaosema mikutano ni mpaka kipindi cha uchaguzi wanakosea sana. Uchaguzi kwa katiba ipi? Hii ya sasa ambayo anapigiwa kura huyu lakini anashinda yule? Hii inayowezesha "kura mpige vyovyote mnavyopenda lakini serikali tunaunda sisi"?

Mahamazisho ya katiba mpya yatafanyikaje bila wananchi kukutana wapendavyo?

Kuamua kwamba vyama vya siasa vinaweza kukutana na wananchi wakati wa uchaguzi tu ni kuvifanya vyama hivyo kupigania uchaguzi tu. Vitajijenga lini?

Watanzania ni wapenda amani kwa silika yao. Matatizo yote ya uvunjivu wa amani huwa yanaletwa na CCM na Polisi wao. Kwa amri za viongozi wa CCM, Polisi wamekuwa wakivuruga sehemu zenye amani. Hii ya kuingilia mkutano wa BAWACHA is just the latest edition.

Mmepiga mabomu kwenye mikutano ya amani. Mmediriki kumwua Mwangosi kwa kumpiga bomu la machozi tumboni. Shame on you CCM and YOUR Police.

Tamshi la Mama halikuwa MAONI yake tu kama wanavyodai wengine. Yeye ni Rais.

Alikuwa ameleta matumaini sana ila sasa AMEZINGUA. Amerudisha mpasuko na taharuki nchi nzima. Tuliyemwona akiongea kwa hekima, upendo na hofu ya Mungu siku za karibuni amekwenda wapi?
 
Kuna watu wanamsukumia huko.
Kuna washauri wapo kwenye mitandao pia. Wakisikia wakuu wa wilaya wanavyoamua mambo kwa ustaarabu wanachukia.
Asipokuwa makini atakuwa dikteta kweli.
Kitendo cha mkutano wa bawacha kuzuia na polisi -sitamhusisha mpaka nijiridhishe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Useless

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nyuki ni wapole lakini usije ukawachokoza ukaingia kwenye 18 zao utajuta.
Kawaida watu wapole huwa na silka ya hasira za ndani na akikasirika hapo mtatafutana. Na usiombe akawa na uwezo wa kufanya..! Hapatatosha, mtabaki mnajiuliza ni yeye huy??

Niwakumbushe tu awamu ya Mzee Kikwete ambaye waliua wakimchukulia poa kiasi wakaona hawezi kufanya kitu, ndio awamu iliyowatia ndani jamaa wa uamsho baada ya kumchokoza Mzee wetu mpole.

Sasa gia waliyoingia nayo wapinzani specifically ChaDeMa, itawagharimu..! Msidhani Mama ni mpole vile mkajisahau kuwa yeye ndiye Amir Jeshi Mkuu..!!
 
Wewe kwel mavi
 
Dawa ni mama kuwaacha muongee, kuwasikiliza na kutojibu wala kujishughulisha nanyi. Ajikite tu ktk maendeleo yetu site. Mana kawaambia msubirie kidogo ila mnampangia
 
Huyu mama hajiamini, ni worse kuliko Magufuli. Sijui walimtoa wapi? Wangemrudisha huko Makunduchi....hafai
 
Kudai katiba ni kuchokoza? Katiba ya sasa ni mbovu hata yeye na viongozi wa CCM wanajua hivyo. Mkapa wrote it in his book.

Unashobokea unduli.
 
Dawa ni mama kuwaacha muongee, kuwasikiliza na kutojibu wala kujishughulisha nanyi. Ajikite tu ktk maendeleo yetu site. Mana kawaambia msubirie kidogo ila mnampangia
Kuwanyima watu kufanya hafla ni kuwaacha waongee? Laiti angeacha watu waongee.

Kikosi cha askari wenye silaha kuzingira kikundi cha kina mama wanaotaka kufanya hafla ili kuwazuia ni kitu cha ajabu sana. Ni kitendo cha kilimbukeni.
 
This happened during her watch. Kama hakubadiliani nao basi awasahihishe publicly. Au amfukuze kazi DC. The buck stops with her

Chadema mnafanya Rais kama mdoli eeh yan utadhani rais yuko pale kwa ajil ya chadema Tu

Hana mambo mengine ya kufanya

Mnazingua bwana,
 
Kudai katiba ni kuchokoza? Katiba ya sasa ni mbovu hata yeye na viongozi wa CCM wanajua hivyo. Mkapa wrote it in his book.

Unashobokea unduli.
Vijana mnakosea hapo tu! Unaweza ukawa na hoja yenye nguvu lakini maneno yenu ya shombo ndio yanaharibu hata hiyo hoja yenyewe mkaonekana wahuni.
Mjifunze kuhsehimu watu na maoni yao. By the way mimi ukinitusi na kunikashifu sibomoki wala mshahara wangu haupungui
 
Ngojeni awaonyeshee...

Yeye Mama, sisi vijana, tukimzingua tunazinguana...
 
So sad. Bado tuko enzi hizo jamani. Kweli yeye na mwendazake ni wamoja.
 
Kukosea kwenye kauli zile zile za dhalimu mwendazake ili aminye haki na uhuru wa vyama vya upinzani kwa mara nyingine tena hadi 2025 kwa kisingizio cha kujenga uchumi!?

Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…