Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mbaya zaidi wanaosifia Kiingereza ni vijana wa Upinzani wanaodai eti wana mawazo mbadala!Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?