Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Yule 'Mwarabu' wa'Tegeta'anakuulizia.
Kwa sababu ulizoea kumuona akimshughulikia Mama yako mzazi basi unafikiri kila mtu ni sawa na aliyekuzaa.

Jitahidi uwe na mawazo ya mtu mwenye kufanana na hili jukwaa, hata heshima kidogo uliyonayo unaweza kuipoteza.
 
Watu very ' brainy ' na ' analytical ' kama Wewe hapa Mtandaoni JamiiForums mpo wachache sana ila wale ' Cuckoos ' ndiyo wamejazana mno. Hongera Ndugu umeelezea vyema na nimefura
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
sishangai kama mama ataweza kiingereza kuliko mtangulizi wake kwa sababu zifuatazo
moja...baada ya kusoma kiingereza mama amekitumia sana kwenye mawasiliano yake hasa alipokuwa kwenye kazi za asasi za kiraia ambapo wafadhili wengi wanatumia kiingereza wakati mtangulizi wake muda mwingi kakitumia kiswahili kwenye utendaji wa kazi na kingereza kwenye kuandika tu taarifa chache.( yaani more practise make thing better ) hivyo kiingereza cha kuandika sio cha kutamka km hukitumii mara kwa mara maana unaweza ukaandikiwa na ukatamka tofauti

pili,nguvu au madhara ya lugha ya mama yaaani ya kikabila..ukiangalia sehemu kubwa ya watu wa bara wanazungumza lugha za makabila zaidi kuliko kiswahili na kingereza wakati ukanda wa pwani matumizi ya kilugha yapo machache kulinganisha na bara mkazo ukiwa kwenye lugha za kibiashara km kiswahili ,kiingereza na kiarabu.
kuna baadhi ya hata ofisi za umma zamani wakati wa kikwete ofisin wanaongea kikwao maana sehem kubwa ya watumishi hasa halmashauri walikuwa ni wazawa hivyo kiingereza hakikuwa na ulazima ila kilikua na umuhimu.

tatu,mapungufu binafsi,kila binadamu ana mapungufu yake eidha kwa kupuuzia kwa makusudi au kilema au sababu zingine zozote,hakuna aliekamilika ,unaweza ukawa una mpishi mzuri bado ukaenda kununua chakula kibovu mtaani,unaweza ukawa na mke/mume mzuri ukaenda bado kuchepuka au kununua huduma km hobi na mtu ambaye huwezi amini,unaweza ukawa unalipwa mshahara mkubwa labda milioni tano au vyovyote ila ukaenda kuchukua rushwa ya elfu mbili mpaka kumi.

hitimisho:watanzania wengi wanafanya vizuri masomo ya sayansi au mengine huko ughaibuni wakichuana na majirani zao ambao wazuri kwenye lugha ya malkia japokuwa elimu hiyo inatolewa kwa lugha ya malkia,wapo wengine wanawazidi waingereza kwenye masomo ya grama wakati ni wakimbizi kutoka asia au africa ambapo kiingereza si lugha ya kwanza na ya lazima ila ni ya umuhimu
 
Kwa sababu ulizoea kumuona akimshughulikia Mama yako mzazi basi unafikiri kila mtu ni sawa na aliyekuzaa.

Jitahidi uwe na mawazo ya mtu mwenye kufanana na hili jukwaa, hata heshima kidogo uliyonayo unaweza kuipoteza.

Yule 'Mwarabu' wa 'Tegeta' anakuulizia.
 
We jamaa una KEBEHI sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Ha HA ha. Kaka yangu una elimu gani?
 
Waheshimiwa Mods shughulikieni mwendawazimu huyu.

Ila Wewe uliniyenidhihakia Mama yangu Mzazi hapo juu katika 'post' yako #593 wakuache si ndiyo?

Bahati nzuri Jamiiforums Moderators siyo Wapumbavu kama ulivyo Wewe na ni waelewa sana tu.

Wewe hushangai tu Umenidhihakia Mama yangu sijalalamika kwa Mods ila Wewe unaomba Msaada wao.

Kwahiyo baada ya kuona Vita yako nami 'typical Warlord' inakushinda unawaomba Mods Msaada?

Nikisema hauna Akili usiwe unanibishia.
 
Mkuu wewe umeanza utoto tangu mwanzo. Punguza dharau hili ni jukwaa huru na ukiwa humu unatarajiwa kuwa ni mtu mzima mwenye kujielewa.

Umeuharibu uzi wako kwa kuendekeza tabia za kitoto, pambana mkuu uweze kukua kiakili na kimtazamo.
 
Uzi wangu ningeuharibu ungefikia page hii ya 31? Uzi wangu ungeharibika ningepata hizo 'likes' lukuki hapa katika post yangu #1?

Generalist sijawahi na sitowahi hata Siku moja kueleweka na 'Wapumbavu' wa aina yako ambao huwa mnanikabili kutwa tu hapa JF.

Huna IQ ya Kujenga Hoja na Mimi sawa?
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Ni kweli yuko vzr, PhD si kigezo kwani nyingine ni feki tu, anafaa hata kuhutubia UN namlinganisha na Dr.KIKWETE, Dr.MKAPA na kiboko yao Mwl. Nyerere.
 
Uzi wangu ningeuharibu ungefikia page hii ya 31? Uzi wangu ungeharibika ningepata hizo 'likes' lukuki hapa katika post yangu #1?

Generalist sijawahi na sitowahi hata Siku moja kueleweka na 'Wapumbavu' wa aina yako ambao huwa mnanikabili kutwa tu hapa JF.

Huna IQ ya Kujenga Hoja na Mimi sawa?
We pimbi tu. Hata vichaa huwa wanapewa likes 1000, hata wanaoweka picha za uchi mitandaoni wanapewa likes nyingi tu.

Punguza dharau bibi mdogo.
 
We pimbi tu. Hata vichaa huwa wanapewa likes 1000, hata wanaoweka picha za uchi mitandaoni wanapewa likes nyingi tu.

Punguza dharau bibi mdogo.

Usisahau pia kuwaambia Moderators wa JamiiForums waisome tena Kiumakini kabisa post yako #593 uliyonitumia katika Uzi huu huu kisha wauone Upumbavu wako na wakupe Kinachokustahili. Hopeless kabisa Wewe!!
 
Wewe ndio mtumwa na upo kifungoni katika gereza la lugha ya kiswahili.Kutojua lugha nyingine ni sawa na kuwa na uwezo finyu.Huwezi kuendelea mbele.Utakuwa kwenye mpaka wa lugha.

Mungu aliamua kupunguza uwezo wa watu waliokuwa wakijenga mnara wa babeli kwa kuwapa mipaka ya kutosokilizana.Kama huwezi kuwasiliana kwa lugha ya waliokutangulia,wewe utakuwa mtumwa wao
Wewe Generalist ni mshamba na muathirika wa neo colonialism, unaona kuongea kiingereza ni dili, kwani ngeli na kizaramu zina tofauti gani? Zote si lugha tu tunajifunza?
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Mama Samia Suluhu Hassan is an iron lady just like Medalin Albright, Angela Merkel, Benazir Bhuto, Cundiliza Rice and the late Margaret Thatcher.

The only difference between her and these powerful mamas from the West is they were born in different places and socialised differently. But in reality one could see that kind of a strong, softly spoken and articulate woman in Samia's. What her critics don't come to term with is mama lives her words.

I strongly believe that with time many will be shocked of the kind of reforms mama will bring to our country and the entire EA region. She will do this without using coersion, much energy but influence and wisdom. Live long mama SSH.
 
Back
Top Bottom