MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #581
Wewe umeacha mada unaongea upumbavu halafu wakiitwa great thinkers utataka uwepo pia.
Yule 'Mwarabu' wa'Tegeta'anakuulizia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeacha mada unaongea upumbavu halafu wakiitwa great thinkers utataka uwepo pia.
Kwa sababu ulizoea kumuona akimshughulikia Mama yako mzazi basi unafikiri kila mtu ni sawa na aliyekuzaa.Yule 'Mwarabu' wa'Tegeta'anakuulizia.
moja...baada ya kusoma kiingereza mama amekitumia sana kwenye mawasiliano yake hasa alipokuwa kwenye kazi za asasi za kiraia ambapo wafadhili wengi wanatumia kiingereza wakati mtangulizi wake muda mwingi kakitumia kiswahili kwenye utendaji wa kazi na kingereza kwenye kuandika tu taarifa chache.( yaani more practise make thing better ) hivyo kiingereza cha kuandika sio cha kutamka km hukitumii mara kwa mara maana unaweza ukaandikiwa na ukatamka tofautiWatu very ' brainy ' na ' analytical ' kama Wewe hapa Mtandaoni JamiiForums mpo wachache sana ila wale ' Cuckoos ' ndiyo wamejazana mno. Hongera Ndugu umeelezea vyema na nimefura
sishangai kama mama ataweza kiingereza kuliko mtangulizi wake kwa sababu zifuatazoNingeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.
Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.
Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?
Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.
Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Gumbalu mna taabu mzigo sana humu ndani. Hivi utasoma usicho kijua kieleweke??Kazungumza au kasoma hotuba?
Kwa sababu ulizoea kumuona akimshughulikia Mama yako mzazi basi unafikiri kila mtu ni sawa na aliyekuzaa.
Jitahidi uwe na mawazo ya mtu mwenye kufanana na hili jukwaa, hata heshima kidogo uliyonayo unaweza kuipoteza.
Ha HA ha. Kaka yangu una elimu gani?Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Waheshimiwa Mods shughulikieni mwendawazimu huyu.Yule 'Mwarabu' wa 'Tegeta' anakuulizia.
Ha HA ha. Kaka yangu una elimu gani?
Waheshimiwa Mods shughulikieni mwendawazimu huyu.
We jamaa una KEBEHI sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mkuu wewe umeanza utoto tangu mwanzo. Punguza dharau hili ni jukwaa huru na ukiwa humu unatarajiwa kuwa ni mtu mzima mwenye kujielewa.Ila Wewe uliniyenidhihakia Mama yangu Mzazi hapo juu katika 'post' yako #593 wakuache si ndiyo?
Bahati nzuri Jamiiforums Moderators siyo Wapumbavu kama ulivyo Wewe na ni waelewa sana tu.
Wewe hushangai tu Umenidhihakia Mama yangu sijalalamika kwa Mods ila Wewe unaomba Msaada wao.
Kwahiyo baada ya kuona Vita yako nami 'typical Warlord' inakushinda unawaomba Mods Msaada?
Nikisema hauna Akili usiwe unanibishia.
Mkuu wewe umeanza utoto tangu mwanzo. Punguza dharau hili ni jukwaa huru na ukiwa humu unatarajiwa kuwa ni mtu mzima mwenye kujielewa.
Umeuharibu uzi wako kwa kuendekeza tabia za kitoto, pambana mkuu uweze kukua kiakili na kimtazamo.
Ni kweli yuko vzr, PhD si kigezo kwani nyingine ni feki tu, anafaa hata kuhutubia UN namlinganisha na Dr.KIKWETE, Dr.MKAPA na kiboko yao Mwl. Nyerere.Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
We pimbi tu. Hata vichaa huwa wanapewa likes 1000, hata wanaoweka picha za uchi mitandaoni wanapewa likes nyingi tu.Uzi wangu ningeuharibu ungefikia page hii ya 31? Uzi wangu ungeharibika ningepata hizo 'likes' lukuki hapa katika post yangu #1?
Generalist sijawahi na sitowahi hata Siku moja kueleweka na 'Wapumbavu' wa aina yako ambao huwa mnanikabili kutwa tu hapa JF.
Huna IQ ya Kujenga Hoja na Mimi sawa?
Kwakweli si sawa kama isivyokuwa swala la kujisifia kuitwa Dokta.Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
We pimbi tu. Hata vichaa huwa wanapewa likes 1000, hata wanaoweka picha za uchi mitandaoni wanapewa likes nyingi tu.
Punguza dharau bibi mdogo.
Hesabu ina lugha yake, wale wanaoijua hesabu tu ndio wanaielewa. Ila sishangai, WaTZ wengi mmesoma HGL na HKLKingereza ni Zero aibu kwa University iliyo mtunuku
Alisoma kwa kiha?
Wewe Generalist ni mshamba na muathirika wa neo colonialism, unaona kuongea kiingereza ni dili, kwani ngeli na kizaramu zina tofauti gani? Zote si lugha tu tunajifunza?
Mama Samia Suluhu Hassan is an iron lady just like Medalin Albright, Angela Merkel, Benazir Bhuto, Cundiliza Rice and the late Margaret Thatcher.Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.