M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Apr 22, 2021 #601 Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Mbaya zaidi wanaosifia Kiingereza ni vijana wa Upinzani wanaodai eti wana mawazo mbadala!
Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Mbaya zaidi wanaosifia Kiingereza ni vijana wa Upinzani wanaodai eti wana mawazo mbadala!
M Mars 12 JF-Expert Member Joined Feb 25, 2021 Posts 221 Reaction score 349 Apr 30, 2021 #602 Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Achana na WAZANZIBARI.
Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Achana na WAZANZIBARI.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Apr 30, 2021 #603 Kiingereza cha Samia wala si kizuri!