Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Huyo mama anajua. Aliwahi kuwa mshereheshaji katika semina moja nami nilishiriki zamani wakati nasoma O level Lumumba sec school. Ana accent nzuri. By then she was young and very beautiful. Jicho jichoo

Ndiyo maana Mumewe HA akapagawa.
 
Mtoa maada wewe ni mshamba ni dalili za kua mtumwa kichwani Jambo la lugha linakufanya umuone mtu wa maana zaidi yakile alichokiongea yaani ungekuja hapa nakusema mambo aliyosema ningekuona wa maana.

Wabongo sijui vp ko kwenye kingereza ndio mmeona pana tatizo kubwa lakutufanya tuwe underdeveloped kingereza sawa ni muhimu lakini haipaswi kuonekana kua ndio kitu ambacho kitawakomboa watu mazima kwani hicho hicho kingereza Cha mtu mweusi si ndio kinatumika kusahini mikataba ya kipumbavu.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Yaani unamwita Laanatullahi Nyerere baba yako wa taifa, ama kweli CCM imeziharibu vibaya bongo zenu
 
Ilibidi nimuite mtoto wangu mwishoni nikamuuliza umegundua nini akaniambia anasoma vizuri but shida mbona hanyanyui kichwa,unapotoa hutubia inatakiwa hata kama unasoma ujitahidi nusu ya uso uwe kwenye kusoma na nusu uangalie audience,sio wewe umeinama tu unasoma kama mwalimu wa imla

Angalieni hotuba ya Kikwete kwenye msiba wa Marina,vile ndo atleast unatakiwa usome

Huyo Mwanao na Wewe nyote ni Fools.
 
Tunaacha kutumia Kiswahili tunashangilia lugha ya wakoloni.
Kwahiyo kuliko kutumia lugha ya wakoloni qa uingereza unaona ni bora utumie kiswahili kilicholetwa na Mabazazi kutoka Arabuni waliokuja kuwalangua na kuwauza kama watumwa na kuwalawiti wale walioleta ubishi ....
 
Bado tuna safari ndefu sana kama nchi. Kwamba kuongea kingereza ndio itakuwa mfano wa kiongozi bora...!. Ningefurahi sana kuongea kiswahili tu kokote.
 
Hapa ndio nashindwa kuwaelewa wabongo,

hii ni lugha tuu kuiongea au kuindika ni ruksa, lakini,

kujivunia au kum jaji mtu juu ya ufahamu wa kiiingereza chake kuwa kizuri au kibaya ndio sawa na upeo wake wa akili ni vitu viwili tofauti.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Kupiga pambio na vigelegele kwa mambo madogo kama haya, yanafanya viongozi wengi walewe na kupiga zaidi, kwasababu wanajua jinsi tulivyo mazuzu.
 
Tunampongeza sana rais wetu na ni jambo zuri sana kuona rais wetu anapata sifa ndani na nje ya nchi.
Niwe mkweli kwamba,watu wengi wanadhani kuongea kiingereza au lugha nyingine ya nchi za ulaya ni usomi ,na asiyejua kuongea lugha hizo si msomi
huu mtizamo sio sahihi,kwa watu ambao wapo karibu na wachina au wakorea hata wajerumani wapo wengi wataalam ila hawajui kiingereza kabisa,nimewasahau warusi na wajapan ambao mpaka wanagundua vitu vingi vya kutisha ila ukiwasemesha kiingereza wanakuangalia kama kituko. Natamani watanzania tuondokane na ushamba huu,tujifunze na upande wa pili wa ulimwengu.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Mbwa nyie kiingereza ndo kitaleta maendeleo ya nchi

Mbwa zaidi atakuwa Yule aliyekuzaa tu.
 
Hata hawa wanaoponda Kiingereza utakuta wanajinyima na kuwapeleka watoto wao kwenye shule za English Medium. Au wanawatafutia tuition watoto wao.

Namna wao walivyonyanyasika kwa kuongea broken English wasingependa irudie kwa watoto wao.

Hata ma Profesa wa Kiswahili pale UDSM fuatilia uone watoto wao wanasoma shule gani? Ni English medium unless Profesa awe hana hela
 
Kasoro matamshi (pronunciation) ya baadhi ya maneno ya Kiingereza alikosea, mfano:
1. Invitation hutamkwa inviteshen, siyo invaiteshen
2. Demise hutamkwa dimaiz, siyo dimis
Ila lafudhi (accent) yake ni nzuri kama ilivyo kwa Kiswahili
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
 
Kupiga pambio na vigelegele kwa mambo madogo kama haya, yanafanya viongozi wengi walewe na kupiga zaidi, kwasababu wanajua jinsi tulivyo mazuzu.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Kama mimi ni kenge wahed wewe ni kenge theneen. Tunaongelea uwezo wa kuongea kiingereza na umuhimu wake sasa hebu jaribu kufikiri na kutoa arguments zako nje ya box!!! Ndiyo maana munashindwa kwa vile hamujiongezi kwenye mijadala.......
oyah hebu sikiza hapa, kiingereza ni lugha kuu hapa duniani, na nchi nyingi tu huwa zinazungumza kiingereza, hata hao warusi , wa china na waspanila wote husomea lugha hii kwa sababu ni lugha twaeza sema ni ya ulimwengu. ni luhga ambayo ukiijua zaidi basi ndio unaonekana wa maana.
 
Hata hawa wanaoponda Kiingereza utakuta wanajinyima na kuwapeleka watoto wao kwenye shule za English Medium. Au wanawatafutia tuition watoto wao.

Namna wao walivyonyanyasika kwa kuongea broken English wasingependa irudie kwa watoto wao.

Hata ma Profesa wa Kiswahili pale UDSM fuatilia uone watoto wao wanasoma shule gani? Ni English medium unless Profesa awe hana hela

Kuna Mmoja alikuwa akiitwa Profesa Martha Qorro ( UDSM sasa Mstaafu ) huyu alijipachika kuwa Mtetezi wa Lugha ya Kiswahili nchini wakati Watoto wake wote tokea wakiwa Mlimani Primary School, Kifungiro Girls na mpaka Vyuo Vikuu Uganda, South Africa na Sweden wamekuzwa vyema na Kiingereza na aliweka Sheria Nyumbani Kwake hakuna Mtu au Mtoto Kuzungumza Kiswahili. Kuna Watanzania ( tena Wasomi ) ni Wanafiki sana.
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Kufahamu kwako kiingereza kumekusaidia nini? mbona umeajiliwa? Na chuki zako juu yetu tusiojua kiingereza zinatokana na marehemu kutokukuongezea mshahara kwa takribani miaka mitano.
au alisoma kiingereza kikusaidie kuajiliwa na unalalamika mshahara ukicheleweshwa?
 
Back
Top Bottom