Rais Samia tafadhali soma hapa na ujumbe ukufikie

Bila kufanya machafuko tutaishia kwenye hizi lugha ngumu na hakuna lolote tutafanya. Wenzetu wataendelea kula tozo zetu na tutaishia kulialia tu.
Tukifanya machafuko tutakimbilia wapi?.
Tutumie njia za amani kushinikiza mabadikiko katika serikali,pamoja na katiba mpya.
 
Hali ya ufisadi ilivyo sasa Tanzania ni mbaya kuwahi kutokea.
Ni kama vile Nchi haina Kiongozi.
Pesa zinapigwa kila inayoitwa leo, lakini hakuna hatua zinazochukuliwa.
 
Mh. Rais Dkt. Samia,

Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania.

Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii. Maana ya kuilinda nchi ina mapana yake, kuna kulinda mipaka ya nchi, watu na mali zao, rasilimali za nchi, katiba n.k Hayo ni baadhi tu ya mambo muhimu uliyoapa kuyasimamia na mengineyo mengi yaliyomo ndani yake.

Mh. Rais, hali ya nchi hii kwa sasa sio nzuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi ila hali ni nzuri sana kwa watanzania wachache ambao kila uchao wanakusifia na kujikomba kwako ili waendelee kuneemesha matumbo yao na kujilimbikizia mali kwa wizi wa rasilimali za nchi hii na kujijenga kisiasa wakitegemea baada ya wewe kuachia kijiti waweze ku-take over na kuendeleza ufisadi. Nitakupa mifano kadhaa:

1. Hivi Rais kweli kabisa hujui Rais wa mawe (Mwigulu) anatumia nafasi yake kwa kujilimbikizia mali? anajitahidi kuzunguka huko na huko kwa kigezo cha kutafuta pesa kukusaidia kupata fedha za kuendesha nchi hii kwa kigezo cha mikopo nafuu ili hali yeye kama Paymaster wako anatumia hiyo fursa kuchota mabilioni ya fedha na kuficha nje ya nchi na kufungua makampuni mbalimbali ya kibiashara? Hivi hao TISS wana kazi gani hasa? kweli wanashindwa kukupa taarifa muhimu kama hizi with supporting evidence na wewe uweze kuchukua hatua? au ndio unaona huna mtu mbadala wa huyo Rais wa Mawe?

2. Kuna huyu kijana February Marope, hivi kweli Mh. Rais unashauriwa kuwa inabidi 1.5 Trilioni inahitajika kwa ajili ya kufumua miundombinu ya TANESCO na kuanza upya nchi nzima? na wewe unakubaliana na hizo hoja zao, hivi hujaona kuwa hicho ni kichaka cha upigaji? yaani Mh. unajua ni kiasi gani cha maumivu ambayo watanzania wanayapata kupitia upigaji huu wa hawa watu? unaweza kusema hilo litatekelezwa kupitia fedha ya mkopo au kupitia wahisani, but who will pay that? is not the tax paid by Tanzanians if not today, then some years to come they will pay it? Mama kuwa na huruma na watanzania. Kuna usemi unasema bora lawama kuliko fedhea. Fanya maamuzi magumu ili auche legacy katika nchi hii. Nikupe mfano mzuri mama labda utanielewa kwa hili, President J.K ruled this country for ten years before Magufuli. He did a lot of things, good and bad ones that I can't mention here. Lakini magufuli hakumaliza ten years, na toka afariki hadi sasa ni miaka miwili imepita, lakini legacy aliyoiacha hadi hii leo bado watu wanamkumbuka. japo alikuwa na ubabe, udikteta n.k lakini mazuri mengi aliyoyafanya bado watanzania mjini na vijijini wanamkumbuka, though alikwama kimataifa na kufinya demokrasia ila bado watu wanamkumbuka. Pointi yangu hapa ni kuwa pamoja na mengine yote ya kiudhaifu kama binadamu, lakini Mh. Simama kidete kusimamia rasilimali za nchi hii kwa manufaa ya watanzania. Kesho hutakuwa madarakani au duniani lakini mamilioni ya watanzania watakukumbuka kwa legacy utakayoiacha.

3. Rejea ripoti ya CAG, ona madudu ya TTCL, Air Tanzania - achilia mbali dili la ndege ya mizigo ambalo master minder wake ni Mwigulu (paymaster) -angalia pale ndani ya air tanzania palivyokuwa kichaka cha upigaji, angalia kadogosa na reli ya SGR anavyochakachua mabilioni ya watanzania kwa upigaji huku PM wako akiwa ndani ya mfumo. Kumi pale Bandarini sasa hivi kila mtu anafanya atakavyo, na TISS wapo ila nao wameamua kula kwa urefu wa kamba yao kama ulivyowaelekeza. Ona manunuzi ya magari ya serikali - 35 Billioni zimetumika kwa magari ambayo hayapo na hayajulikani yapo wapi? hivi hawa watu unawaogopa au? Shida ni nini hasa Mh. Rais?

4. Hivi unajua makaa ya mawe yanayotoka mkoani Ruvuma kule kijiji cha Ruanda kwa siku ni tani ngapi zinaondoka? unajua mashimo yaliyoko kule mgodini ukilinganisha na kinachowafaidisha watanzania? Unajua yale magari yaliyoandikwa 'Specialized' yanayotanda barabara zote - njia ya songea lindi mtwara, na songea iringa - moro yanamilikiwa na nani? unajua thamani ya ule mkataba upoje? mwite PM wako leo jioni muulize akupe majibu maana anajua uchafu wote japo najua hawezi kukuueleza ukweli kwa sababu ya personal interest, Biteko ndio jipu uchungu lilijivika ngozi ya uzalendo kwa kujidai mlinda madini ya nchi hii.

5. Mh. Rais, nimekueleza machache tu kati ya mengi yanayowaumiza watanzania. Lakini pengine yawezekana shida ikawa ni mfumo ulioukuta/urithi toka kwa watangulizi wako. Mimi nakushauri kwa moyo wa upendo kabisa, waletee watanzania katiba mpya. "HII NDIO LEGACY KUBWA AMBAYO UTAIACHA KWA WATANZANIA'. Jitokeze hadharani, sema kwa sasa katiba mpya ni kipaumbele chako. Kama watu wanateketeza mabilioni ya fedha kwa kujilimbikizia kwa maslahi binafsi, hivi wewe unashindwa kutumia BILIONI 50 kwa ajili ya katiba mpya? Kwa mtazamo wangu, ile pendekezo la katiba mpya ya Tume ya Warioba ndio itakuwa muarobaini kwa uchafu unaendelea sasa hivi nchini. Najua wapo wana CCM ambao kwa maslahi yao binafsi watakupinga kuhusu hili lakini ukweli ni kwamba utaheshimika kimataifa na pengine hadi kupewa tuzo maarufu duniani after your retirement na kuwa mwanamke wa mfano duniani kama utayafanyia kazi maoni yangu.

6. Mwisho, tambua timu nzima ya mawaziri waliokuzunguka ni wapigaji. Mwite DGS mpe special task na kuletee majibu. Swali la kizushi: hivi wale vyura wa kihansi kule marekani wataendelea kutumia mabilioni ya watanzania hadi lini?

NB: Kiubinadamu najua utakuwa umechukizwa na huu ujumbe wangu ukidhani labda sioni jitihada zako unazozifanya, no please unajitahidi sana tena sana kuwapambania watanzania pamoja na kuwa na weakness za hapa na pale kama binadamu tu wa kawaida, but for 80% bravo my dear President, lakini hilo halina maana kuwa tusikuambie ukweli pale panapohitajika ili uweze kufanya vizuri zaidi. Chukulia niliyokuambia hapo juu ni kama nimekaa nawe sehemu tunakunywa kikombe cha kahawa huku tunabadilishana mawazo.

As my ID implies: Next Presd. ni kweli ipo hivyo, ila sio kwa sasa, this will be by 2030s by then you will be called 'Retired President'.

I believe I will meet you one day and talk together.

Wishing you 'Ramadhan Kareem', and 'A prosperous Easter Holiday'.

Mkuu

Nikupe pongeze kwa kukaa chini na kutumia Muda na akili yako vizuri kujenga hoja hizi.

Unaongea kwa uchungu Sana, ni vijana wachache Sana wenye DNA ya kujenga hoja ngumu kiasi hiki..

Naomba nichangie kwa uchache Sana kipengele namba tano.

Kwenye kipengele hicho, uliyoyazungumza itakuwa ngumu kwake kuyatekeleza kwasababu moja kwa moja atapoteza Sifa ya kuwa hapo alipo kwa Sasa.

Vilevile, kwenye kipengele hicho tajwa, CCM inaenda kupoteza nafasi kwasababu ya lile pingamizi la Matokeo ya Uchaguzi Mahakamani. Labda pafanyiwe marekebisho hapo.

Kama ningekuwa Ps wake bs ningemshauri alete hicho tajwa halafu apumzike zake, jamii ya Watanzania wangemuimba kila siku na siyo tu kuwapa watoto wao nomino yake.

Hitimisho, naomba niitimishe kwa kusema kwamba ile njia ya kwenda kwenye maendeleo siyo njia nyepesi. Ni ngumu yenye gizo zito ambalo unahitaji ujasiri ( Guts) kwa kufanya maamuzi mazito ( bold decisions) kwa maslahi ya Taifa hili.

Muda utasema!

Asante!
 
Tanzania ni shamba la bibi. Kila mwenye uwezo wa kuvuna, anajivunia tu mchana kweupe! Na hakuna wa kumzuia.
 
Mh. Rais Dkt. Samia,

Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania.

Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii. Maana ya kuilinda nchi ina mapana yake, kuna kulinda mipaka ya nchi, watu na mali zao, rasilimali za nchi, katiba n.k Hayo ni baadhi tu ya mambo muhimu uliyoapa kuyasimamia na mengineyo mengi yaliyomo ndani yake.

Mh. Rais, hali ya nchi hii kwa sasa sio nzuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi ila hali ni nzuri sana kwa watanzania wachache ambao kila uchao wanakusifia na kujikomba kwako ili waendelee kuneemesha matumbo yao na kujilimbikizia mali kwa wizi wa rasilimali za nchi hii na kujijenga kisiasa wakitegemea baada ya wewe kuachia kijiti waweze ku-take over na kuendeleza ufisadi. Nitakupa mifano kadhaa:

1. Hivi Rais kweli kabisa hujui Rais wa mawe (Mwigulu) anatumia nafasi yake kwa kujilimbikizia mali? anajitahidi kuzunguka huko na huko kwa kigezo cha kutafuta pesa kukusaidia kupata fedha za kuendesha nchi hii kwa kigezo cha mikopo nafuu ili hali yeye kama Paymaster wako anatumia hiyo fursa kuchota mabilioni ya fedha na kuficha nje ya nchi na kufungua makampuni mbalimbali ya kibiashara? Hivi hao TISS wana kazi gani hasa? kweli wanashindwa kukupa taarifa muhimu kama hizi with supporting evidence na wewe uweze kuchukua hatua? au ndio unaona huna mtu mbadala wa huyo Rais wa Mawe?

2. Kuna huyu kijana February Marope, hivi kweli Mh. Rais unashauriwa kuwa inabidi 1.5 Trilioni inahitajika kwa ajili ya kufumua miundombinu ya TANESCO na kuanza upya nchi nzima? na wewe unakubaliana na hizo hoja zao, hivi hujaona kuwa hicho ni kichaka cha upigaji? yaani Mh. unajua ni kiasi gani cha maumivu ambayo watanzania wanayapata kupitia upigaji huu wa hawa watu? unaweza kusema hilo litatekelezwa kupitia fedha ya mkopo au kupitia wahisani, but who will pay that? is not the tax paid by Tanzanians if not today, then some years to come they will pay it? Mama kuwa na huruma na watanzania. Kuna usemi unasema bora lawama kuliko fedhea. Fanya maamuzi magumu ili auche legacy katika nchi hii. Nikupe mfano mzuri mama labda utanielewa kwa hili, President J.K ruled this country for ten years before Magufuli. He did a lot of things, good and bad ones that I can't mention here. Lakini magufuli hakumaliza ten years, na toka afariki hadi sasa ni miaka miwili imepita, lakini legacy aliyoiacha hadi hii leo bado watu wanamkumbuka. japo alikuwa na ubabe, udikteta n.k lakini mazuri mengi aliyoyafanya bado watanzania mjini na vijijini wanamkumbuka, though alikwama kimataifa na kufinya demokrasia ila bado watu wanamkumbuka. Pointi yangu hapa ni kuwa pamoja na mengine yote ya kiudhaifu kama binadamu, lakini Mh. Simama kidete kusimamia rasilimali za nchi hii kwa manufaa ya watanzania. Kesho hutakuwa madarakani au duniani lakini mamilioni ya watanzania watakukumbuka kwa legacy utakayoiacha.

3. Rejea ripoti ya CAG, ona madudu ya TTCL, Air Tanzania - achilia mbali dili la ndege ya mizigo ambalo master minder wake ni Mwigulu (paymaster) -angalia pale ndani ya air tanzania palivyokuwa kichaka cha upigaji, angalia kadogosa na reli ya SGR anavyochakachua mabilioni ya watanzania kwa upigaji huku PM wako akiwa ndani ya mfumo. Kumi pale Bandarini sasa hivi kila mtu anafanya atakavyo, na TISS wapo ila nao wameamua kula kwa urefu wa kamba yao kama ulivyowaelekeza. Ona manunuzi ya magari ya serikali - 35 Billioni zimetumika kwa magari ambayo hayapo na hayajulikani yapo wapi? hivi hawa watu unawaogopa au? Shida ni nini hasa Mh. Rais?

4. Hivi unajua makaa ya mawe yanayotoka mkoani Ruvuma kule kijiji cha Ruanda kwa siku ni tani ngapi zinaondoka? unajua mashimo yaliyoko kule mgodini ukilinganisha na kinachowafaidisha watanzania? Unajua yale magari yaliyoandikwa 'Specialized' yanayotanda barabara zote - njia ya songea lindi mtwara, na songea iringa - moro yanamilikiwa na nani? unajua thamani ya ule mkataba upoje? mwite PM wako leo jioni muulize akupe majibu maana anajua uchafu wote japo najua hawezi kukuueleza ukweli kwa sababu ya personal interest, Biteko ndio jipu uchungu lilijivika ngozi ya uzalendo kwa kujidai mlinda madini ya nchi hii.

5. Mh. Rais, nimekueleza machache tu kati ya mengi yanayowaumiza watanzania. Lakini pengine yawezekana shida ikawa ni mfumo ulioukuta/urithi toka kwa watangulizi wako. Mimi nakushauri kwa moyo wa upendo kabisa, waletee watanzania katiba mpya. "HII NDIO LEGACY KUBWA AMBAYO UTAIACHA KWA WATANZANIA'. Jitokeze hadharani, sema kwa sasa katiba mpya ni kipaumbele chako. Kama watu wanateketeza mabilioni ya fedha kwa kujilimbikizia kwa maslahi binafsi, hivi wewe unashindwa kutumia BILIONI 50 kwa ajili ya katiba mpya? Kwa mtazamo wangu, ile pendekezo la katiba mpya ya Tume ya Warioba ndio itakuwa muarobaini kwa uchafu unaendelea sasa hivi nchini. Najua wapo wana CCM ambao kwa maslahi yao binafsi watakupinga kuhusu hili lakini ukweli ni kwamba utaheshimika kimataifa na pengine hadi kupewa tuzo maarufu duniani after your retirement na kuwa mwanamke wa mfano duniani kama utayafanyia kazi maoni yangu.

6. Mwisho, tambua timu nzima ya mawaziri waliokuzunguka ni wapigaji. Mwite DGS mpe special task na kuletee majibu. Swali la kizushi: hivi wale vyura wa kihansi kule marekani wataendelea kutumia mabilioni ya watanzania hadi lini?

NB: Kiubinadamu najua utakuwa umechukizwa na huu ujumbe wangu ukidhani labda sioni jitihada zako unazozifanya, no please unajitahidi sana tena sana kuwapambania watanzania pamoja na kuwa na weakness za hapa na pale kama binadamu tu wa kawaida, but for 80% bravo my dear President, lakini hilo halina maana kuwa tusikuambie ukweli pale panapohitajika ili uweze kufanya vizuri zaidi. Chukulia niliyokuambia hapo juu ni kama nimekaa nawe sehemu tunakunywa kikombe cha kahawa huku tunabadilishana mawazo.

As my ID implies: Next Presd. ni kweli ipo hivyo, ila sio kwa sasa, this will be by 2030s by then you will be called 'Retired President'.

I believe I will meet you one day and talk together.

Wishing you 'Ramadhan Kareem', and 'A prosperous Easter Holiday'.
Tatizo hao marope na yule wa Korosho ndio MASTERMIND wake wa 2025.
 
Watanzania ukiwanongoneza tu jambo wanavyojua kutiririka nalo hatari sana!
 
Wakati mwingine mnaweza kuharibu, mkaharibu jumla kama ilivyo Somalia na Libya. Bora tuendelee na umaskini wetu kwenye amani, kuliko kutafuta utajiri kwa kuanzisha vurugu!
Mbona Kenya hapo haijaharibika? Wazee ndio mnapandikiza woga kwakuwa mnafaidika na mfumo uliopo.
 
Na hapa nilipo umeme umekatika
Yaani Kuna vitu unashangaa sijui kwanini vinafanyika kwa nchi yetu Hadi unahisi huenda tumelaaniwa.

Kuna kipindi fulani nilikuwa Norway for two years kimasomo. Hata siku moja sikuwahi kuona umeme umekatika.

Kilichonishangaza: mwaka mmoja baadae, nikiwa nchini uholanzi nikapokea email kutoka Norway kuwa niwatumie akaunti namba yangu ya benk Ili wanirudishie kiasi Cha pesa ambacho nilikatwa kimakosa katika matumizi ya umeme ( yaani nilikuwa nalipia chumba/ rent including water and electricity), Sasa ikaonekana kwa kipindi chote nilichokaa bill ya umeme ilichajiwa zaidi ya ilivyotakiwa kukatea na hayo makosa yalifanyika na kampuni ilivyokuwa inahisika na umeme.

Nakumbuka ilikuwa almost 1.8 mill Tz shillings niliyorudishiwa. Hii ni habari ya kweli kabisa.

Tanzania tuna safari ndefu sana. Tunahitaji viongozi wenye maono na huruma kwa watanzania walio wengi. Shida iliopo viongozi wengi wapo kwa ajili ya maslahi binafsi na ufisadi.

By the way, ndoto yangu ipo pale pale, besides dark side of JPM, Mungu akinijalia kuwa Rais wa nchi hii by 2030s, watanzania hawatoamini jinsi nitakavyo watumikia kwa kuondoa huu uozo uliopo.

Ifike wakati tuseme hii nchi ni ya watanzania na sio ya wachache wanao ona kuwa ndio Wana hati miliki na nchi hii.
 
Mtoa mada pongezi zako nyingi huu ukumbusho utamfikia Mh Raisi bila shaka atapata kutafakari zaidi dhidi ya nafasi yake Kwa Tanzania , Kwa kuongezea hapo
. Mh Raisi amezungukwa na watu wanao amini katika sifa ndiyo Mambo yaende na Hilo yupo kulichekea sana kama vikundi vya chawa n.k abalishe mfumo kwani chama Kiko na watu wa kukisemea Kwa nafasi zao na zaidi ukifanya Jambo Kwa vitendo kila mtu ataona bila hata ya kutumia nguvu hapa kunafanya akiletewa/kuambiwa orodha ya wabadhilifu anajikuta wanaomsifia wamo hivyo anapata kigugumizi na kubakia yeye kwenye mngojeo wa fedhea toka kwa wananchi .
.Atambue mtu pekee wa mwisho kuulizwa juu ya hatma ya nchi ni yeye Kwa wakati huu kisha ayadhoofishe makundi yote ili awe na nguvu ya kuogelea kwenye nafasi yake aige Kwa mtangulizi wake jinsi alivyowanyoosha vigogo Hadi wakawa ruler ni vile Tu na yeye mfumo wa ubadhilifu ndiko alipokulia lakini tofauti na hapo tungeona mazuri zaidi ya aliyotuachia.
Mh Raisi fumbua macho regacy haiji kirahisi na udhalili ni m'baya sana.
 
Kufeli Kwa mama ni hukumu Kwa wanawake wote Tanzania Kwa kuonekana hawawezi kumudu nafasi ya urais tumwombee afanye maamuzi magumu
Ukituo wabunge wa Ccm wanaosifia kila kitu na kuuanza kuwalaum wateule wake kila mtu anajua mama hapo alipo tumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Yaani Kuna vitu unashangaa sijui kwanini vinafanyika kwa nchi yetu Hadi unahisi huenda tumelaaniwa.

Kuna kipindi fulani nilikuwa Norway for two years kimasomo. Hata siku moja sikuwahi kuona umeme umekatika.

Kilichonishangaza: mwaka mmoja baadae, nikiwa nchini uholanzi nikapokea email kutoka Norway kuwa niwatumie akaunti namba yangu ya benk Ili wanirudishie kiasi Cha pesa ambacho nilikatwa kimakosa katika matumizi ya umeme ( yaani nilikuwa nalipia chumba/ rent including water and electricity), Sasa ikaonekana kwa kipindi chote nilichokaa bill ya umeme ilichajiwa zaidi ya ilivyotakiwa kukatea na hayo makosa yalifanyika na kampuni ilivyokuwa inahisika na umeme.

Nakumbuka ilikuwa almost 1.8 mill Tz shillings niliyorudishiwa. Hii ni habari ya kweli kabisa.

Tanzania tuna safari ndefu sana. Tunahitaji viongozi wenye maono na huruma kwa watanzania walio wengi. Shida iliopo viongozi wengi wapo kwa ajili ya maslahi binafsi na ufisadi.

By the way, ndoto yangu ipo pale pale, besides dark side of JPM, Mungu akinijalia kuwa Rais wa nchi hii by 2030s, watanzania hawatoamini jinsi nitakavyo watumikia kwa kuondoa huu uozo uliopo.

Ifike wakati tuseme hii nchi ni ya watanzania na sio ya wachache wanao ona kuwa ndio Wana hati miliki na nchi hii.
Hakika inasikitisha sana na ukiangalia sana shida ni viongozi nakuombea heri ndoto yako itimie hofu ya Mungu ikuongoze kuokoa Taifa hili maana kila muda unavyokwenda na shida zinaongezeka .

Na ukisikia experience hiyo ya nchi za wenzetu unaweza ukaona kama tumelaniwa kwa kweli
 
Kwanchi kama yetu hii,jukumu hilo tumuachie Hakimu wama Hakimu.
INSHA_ALLAH.
 
Kurudisha watu kama Rishad Bade, Mafuru, Mbarawa,Makamba,Nape

Ilipendeza hata kama akuhitaji kuwa na wale wa hayati angechukua wake siyo wa JK au JPM
 
Mh. Rais Dkt. Samia,

Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania.

Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii. Maana ya kuilinda nchi ina mapana yake, kuna kulinda mipaka ya nchi, watu na mali zao, rasilimali za nchi, katiba n.k Hayo ni baadhi tu ya mambo muhimu uliyoapa kuyasimamia na mengineyo mengi yaliyomo ndani yake.

Mh. Rais, hali ya nchi hii kwa sasa sio nzuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi ila hali ni nzuri sana kwa watanzania wachache ambao kila uchao wanakusifia na kujikomba kwako ili waendelee kuneemesha matumbo yao na kujilimbikizia mali kwa wizi wa rasilimali za nchi hii na kujijenga kisiasa wakitegemea baada ya wewe kuachia kijiti waweze ku-take over na kuendeleza ufisadi. Nitakupa mifano kadhaa:

1. Hivi Rais kweli kabisa hujui Rais wa mawe (Mwigulu) anatumia nafasi yake kwa kujilimbikizia mali? anajitahidi kuzunguka huko na huko kwa kigezo cha kutafuta pesa kukusaidia kupata fedha za kuendesha nchi hii kwa kigezo cha mikopo nafuu ili hali yeye kama Paymaster wako anatumia hiyo fursa kuchota mabilioni ya fedha na kuficha nje ya nchi na kufungua makampuni mbalimbali ya kibiashara? Hivi hao TISS wana kazi gani hasa? kweli wanashindwa kukupa taarifa muhimu kama hizi with supporting evidence na wewe uweze kuchukua hatua? au ndio unaona huna mtu mbadala wa huyo Rais wa Mawe?

2. Kuna huyu kijana February Marope, hivi kweli Mh. Rais unashauriwa kuwa inabidi 1.5 Trilioni inahitajika kwa ajili ya kufumua miundombinu ya TANESCO na kuanza upya nchi nzima? na wewe unakubaliana na hizo hoja zao, hivi hujaona kuwa hicho ni kichaka cha upigaji? yaani Mh. unajua ni kiasi gani cha maumivu ambayo watanzania wanayapata kupitia upigaji huu wa hawa watu? unaweza kusema hilo litatekelezwa kupitia fedha ya mkopo au kupitia wahisani, but who will pay that? is not the tax paid by Tanzanians if not today, then some years to come they will pay it? Mama kuwa na huruma na watanzania. Kuna usemi unasema bora lawama kuliko fedhea. Fanya maamuzi magumu ili auche legacy katika nchi hii. Nikupe mfano mzuri mama labda utanielewa kwa hili, President J.K ruled this country for ten years before Magufuli. He did a lot of things, good and bad ones that I can't mention here. Lakini magufuli hakumaliza ten years, na toka afariki hadi sasa ni miaka miwili imepita, lakini legacy aliyoiacha hadi hii leo bado watu wanamkumbuka. japo alikuwa na ubabe, udikteta n.k lakini mazuri mengi aliyoyafanya bado watanzania mjini na vijijini wanamkumbuka, though alikwama kimataifa na kufinya demokrasia ila bado watu wanamkumbuka. Pointi yangu hapa ni kuwa pamoja na mengine yote ya kiudhaifu kama binadamu, lakini Mh. Simama kidete kusimamia rasilimali za nchi hii kwa manufaa ya watanzania. Kesho hutakuwa madarakani au duniani lakini mamilioni ya watanzania watakukumbuka kwa legacy utakayoiacha.

3. Rejea ripoti ya CAG, ona madudu ya TTCL, Air Tanzania - achilia mbali dili la ndege ya mizigo ambalo master minder wake ni Mwigulu (paymaster) -angalia pale ndani ya air tanzania palivyokuwa kichaka cha upigaji, angalia kadogosa na reli ya SGR anavyochakachua mabilioni ya watanzania kwa upigaji huku PM wako akiwa ndani ya mfumo. Kumi pale Bandarini sasa hivi kila mtu anafanya atakavyo, na TISS wapo ila nao wameamua kula kwa urefu wa kamba yao kama ulivyowaelekeza. Ona manunuzi ya magari ya serikali - 35 Billioni zimetumika kwa magari ambayo hayapo na hayajulikani yapo wapi? hivi hawa watu unawaogopa au? Shida ni nini hasa Mh. Rais?

4. Hivi unajua makaa ya mawe yanayotoka mkoani Ruvuma kule kijiji cha Ruanda kwa siku ni tani ngapi zinaondoka? unajua mashimo yaliyoko kule mgodini ukilinganisha na kinachowafaidisha watanzania? Unajua yale magari yaliyoandikwa 'Specialized' yanayotanda barabara zote - njia ya songea lindi mtwara, na songea iringa - moro yanamilikiwa na nani? unajua thamani ya ule mkataba upoje? mwite PM wako leo jioni muulize akupe majibu maana anajua uchafu wote japo najua hawezi kukuueleza ukweli kwa sababu ya personal interest, Biteko ndio jipu uchungu lilijivika ngozi ya uzalendo kwa kujidai mlinda madini ya nchi hii.

5. Mh. Rais, nimekueleza machache tu kati ya mengi yanayowaumiza watanzania. Lakini pengine yawezekana shida ikawa ni mfumo ulioukuta/urithi toka kwa watangulizi wako. Mimi nakushauri kwa moyo wa upendo kabisa, waletee watanzania katiba mpya. "HII NDIO LEGACY KUBWA AMBAYO UTAIACHA KWA WATANZANIA'. Jitokeze hadharani, sema kwa sasa katiba mpya ni kipaumbele chako. Kama watu wanateketeza mabilioni ya fedha kwa kujilimbikizia kwa maslahi binafsi, hivi wewe unashindwa kutumia BILIONI 50 kwa ajili ya katiba mpya? Kwa mtazamo wangu, ile pendekezo la katiba mpya ya Tume ya Warioba ndio itakuwa muarobaini kwa uchafu unaendelea sasa hivi nchini. Najua wapo wana CCM ambao kwa maslahi yao binafsi watakupinga kuhusu hili lakini ukweli ni kwamba utaheshimika kimataifa na pengine hadi kupewa tuzo maarufu duniani after your retirement na kuwa mwanamke wa mfano duniani kama utayafanyia kazi maoni yangu.

6. Mwisho, tambua timu nzima ya mawaziri waliokuzunguka ni wapigaji. Mwite DGS mpe special task na kuletee majibu. Swali la kizushi: hivi wale vyura wa kihansi kule marekani wataendelea kutumia mabilioni ya watanzania hadi lini?

NB: Kiubinadamu najua utakuwa umechukizwa na huu ujumbe wangu ukidhani labda sioni jitihada zako unazozifanya, no please unajitahidi sana tena sana kuwapambania watanzania pamoja na kuwa na weakness za hapa na pale kama binadamu tu wa kawaida, but for 80% bravo my dear President, lakini hilo halina maana kuwa tusikuambie ukweli pale panapohitajika ili uweze kufanya vizuri zaidi. Chukulia niliyokuambia hapo juu ni kama nimekaa nawe sehemu tunakunywa kikombe cha kahawa huku tunabadilishana mawazo.

As my ID implies: Next Presd. ni kweli ipo hivyo, ila sio kwa sasa, this will be by 2030s by then you will be called 'Retired President'.

I believe I will meet you one day and talk together.

Wishing you 'Ramadhan Kareem', and 'A prosperous Easter Holiday'.
Kwenye kampeni yako ya urais nitajitolea lakini sharti moja tu.
FOR THE PEOPLE
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Back
Top Bottom