Rais Samia tafadhali soma hapa na ujumbe ukufikie

Mh. Rais Dkt. Samia,

Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania.

Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii. Maana ya kuilinda nchi ina mapana yake, kuna kulinda mipaka ya nchi, watu na mali zao, rasilimali za nchi, katiba n.k Hayo ni baadhi tu ya mambo muhimu uliyoapa kuyasimamia na mengineyo mengi yaliyomo ndani yake.

Mh. Rais, hali ya nchi hii kwa sasa sio nzuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi ila hali ni nzuri sana kwa watanzania wachache ambao kila uchao wanakusifia na kujikomba kwako ili waendelee kuneemesha matumbo yao na kujilimbikizia mali kwa wizi wa rasilimali za nchi hii na kujijenga kisiasa wakitegemea baada ya wewe kuachia kijiti waweze ku-take over na kuendeleza ufisadi. Nitakupa mifano kadhaa:

1. Hivi Rais kweli kabisa hujui Rais wa mawe (Mwigulu) anatumia nafasi yake kwa kujilimbikizia mali? anajitahidi kuzunguka huko na huko kwa kigezo cha kutafuta pesa kukusaidia kupata fedha za kuendesha nchi hii kwa kigezo cha mikopo nafuu ili hali yeye kama Paymaster wako anatumia hiyo fursa kuchota mabilioni ya fedha na kuficha nje ya nchi na kufungua makampuni mbalimbali ya kibiashara? Hivi hao TISS wana kazi gani hasa? kweli wanashindwa kukupa taarifa muhimu kama hizi with supporting evidence na wewe uweze kuchukua hatua? au ndio unaona huna mtu mbadala wa huyo Rais wa Mawe?

2. Kuna huyu kijana February Marope, hivi kweli Mh. Rais unashauriwa kuwa inabidi 1.5 Trilioni inahitajika kwa ajili ya kufumua miundombinu ya TANESCO na kuanza upya nchi nzima? na wewe unakubaliana na hizo hoja zao, hivi hujaona kuwa hicho ni kichaka cha upigaji? yaani Mh. unajua ni kiasi gani cha maumivu ambayo watanzania wanayapata kupitia upigaji huu wa hawa watu? unaweza kusema hilo litatekelezwa kupitia fedha ya mkopo au kupitia wahisani, but who will pay that? is not the tax paid by Tanzanians if not today, then some years to come they will pay it? Mama kuwa na huruma na watanzania. Kuna usemi unasema bora lawama kuliko fedhea. Fanya maamuzi magumu ili auche legacy katika nchi hii. Nikupe mfano mzuri mama labda utanielewa kwa hili, President J.K ruled this country for ten years before Magufuli. He did a lot of things, good and bad ones that I can't mention here. Lakini magufuli hakumaliza ten years, na toka afariki hadi sasa ni miaka miwili imepita, lakini legacy aliyoiacha hadi hii leo bado watu wanamkumbuka. japo alikuwa na ubabe, udikteta n.k lakini mazuri mengi aliyoyafanya bado watanzania mjini na vijijini wanamkumbuka, though alikwama kimataifa na kufinya demokrasia ila bado watu wanamkumbuka. Pointi yangu hapa ni kuwa pamoja na mengine yote ya kiudhaifu kama binadamu, lakini Mh. Simama kidete kusimamia rasilimali za nchi hii kwa manufaa ya watanzania. Kesho hutakuwa madarakani au duniani lakini mamilioni ya watanzania watakukumbuka kwa legacy utakayoiacha.

3. Rejea ripoti ya CAG, ona madudu ya TTCL, Air Tanzania - achilia mbali dili la ndege ya mizigo ambalo master minder wake ni Mwigulu (paymaster) -angalia pale ndani ya air tanzania palivyokuwa kichaka cha upigaji, angalia kadogosa na reli ya SGR anavyochakachua mabilioni ya watanzania kwa upigaji huku PM wako akiwa ndani ya mfumo. Kumi pale Bandarini sasa hivi kila mtu anafanya atakavyo, na TISS wapo ila nao wameamua kula kwa urefu wa kamba yao kama ulivyowaelekeza. Ona manunuzi ya magari ya serikali - 35 Billioni zimetumika kwa magari ambayo hayapo na hayajulikani yapo wapi? hivi hawa watu unawaogopa au? Shida ni nini hasa Mh. Rais?

4. Hivi unajua makaa ya mawe yanayotoka mkoani Ruvuma kule kijiji cha Ruanda kwa siku ni tani ngapi zinaondoka? unajua mashimo yaliyoko kule mgodini ukilinganisha na kinachowafaidisha watanzania? Unajua yale magari yaliyoandikwa 'Specialized' yanayotanda barabara zote - njia ya songea lindi mtwara, na songea iringa - moro yanamilikiwa na nani? unajua thamani ya ule mkataba upoje? mwite PM wako leo jioni muulize akupe majibu maana anajua uchafu wote japo najua hawezi kukuueleza ukweli kwa sababu ya personal interest, Biteko ndio jipu uchungu lilijivika ngozi ya uzalendo kwa kujidai mlinda madini ya nchi hii.

5. Mh. Rais, nimekueleza machache tu kati ya mengi yanayowaumiza watanzania. Lakini pengine yawezekana shida ikawa ni mfumo ulioukuta/urithi toka kwa watangulizi wako. Mimi nakushauri kwa moyo wa upendo kabisa, waletee watanzania katiba mpya. "HII NDIO LEGACY KUBWA AMBAYO UTAIACHA KWA WATANZANIA'. Jitokeze hadharani, sema kwa sasa katiba mpya ni kipaumbele chako. Kama watu wanateketeza mabilioni ya fedha kwa kujilimbikizia kwa maslahi binafsi, hivi wewe unashindwa kutumia BILIONI 50 kwa ajili ya katiba mpya? Kwa mtazamo wangu, ile pendekezo la katiba mpya ya Tume ya Warioba ndio itakuwa muarobaini kwa uchafu unaendelea sasa hivi nchini. Najua wapo wana CCM ambao kwa maslahi yao binafsi watakupinga kuhusu hili lakini ukweli ni kwamba utaheshimika kimataifa na pengine hadi kupewa tuzo maarufu duniani after your retirement na kuwa mwanamke wa mfano duniani kama utayafanyia kazi maoni yangu.

6. Mwisho, tambua timu nzima ya mawaziri waliokuzunguka ni wapigaji. Mwite DGS mpe special task na kuletee majibu. Swali la kizushi: hivi wale vyura wa kihansi kule marekani wataendelea kutumia mabilioni ya watanzania hadi lini?

NB: Kiubinadamu najua utakuwa umechukizwa na huu ujumbe wangu ukidhani labda sioni jitihada zako unazozifanya, no please unajitahidi sana tena sana kuwapambania watanzania pamoja na kuwa na weakness za hapa na pale kama binadamu tu wa kawaida, but for 80% bravo my dear President, lakini hilo halina maana kuwa tusikuambie ukweli pale panapohitajika ili uweze kufanya vizuri zaidi. Chukulia niliyokuambia hapo juu ni kama nimekaa nawe sehemu tunakunywa kikombe cha kahawa huku tunabadilishana mawazo.

As my ID implies: Next Presd. ni kweli ipo hivyo, ila sio kwa sasa, this will be by 2030s by then you will be called 'Retired President'.

I believe I will meet you one day and talk together.

Wishing you 'Ramadhan Kareem', and 'A prosperous Easter Holiday'.
Niko paleeee
 
Mleta mada hii ni post ya kipumbavu kabisa. Unadhani Rais haoni hayo na hajasikia .Ripoti anayo yeye na anaifanyia kazi. Zingine ni kelele tu zisizo na lengo.
 
Stupid 😂😂😂😂
 
Ungeandika tu JANUARY MAKAMBA,unaogopa nini?
 
Wakati mwingine mnaweza kuharibu, mkaharibu jumla kama ilivyo Somalia na Libya. Bora tuendelee na umaskini wetu kwenye amani, kuliko kutafuta utajiri kwa kuanzisha vurugu!
Somalia Tatizo ilikuwa ni nini mpaka wakafika walikofika? hayahaya yanayoendelea Tz yakiaachiwa yaendelee tutakuwa kama Somalia na Kenya.
 
TISS nao kuwekwa mfukoni ni rahisi sana, tena wao ndio wa kwanza kabsaa.
 
Tatizo tuna Rais asiyetaka kuishughulisha akili yake kabisa.
 
Kurudisha watu kama Rishad Bade, Mafuru, Mbarawa,Makamba,Nape

Ilipendeza hata kama akuhitaji kuwa na wale wa hayati angechukua wake siyo wa JK au JPM
Hawa na akina shose sinare si ndo waliongeza riba wakapiga 6USd za stanbic kipindi kile
 
Nina miaka mingi sana sijaanzisha thread humu JF,ila huwezi amini leo tangu naamka nilikuwa na wazo la kuandika thread yenye content inayofanana na hii kwa asilimi 90

yani ni kwamba umeongea kilichokuwa akilini mwangu sema tu mwishoni wa hoja yangu nilitaka nimuambie kama katika miaka yake yote atashindwa kuchukua hatua kwa haya yote yaliyotokea basi atuombe msamaha watanzania hii inatosha tu na tutamuelewa hata mwenzie the late Mkapa alituomba msamaha kwa kile alichoona amekosea kipindi cha utawala wake.

kuna mambo yanatia uchungu sana hii nchi
Nafikiri huko mbele fursa ya kupokea msamaha tena haitakuwepo. Bali nafsi zao zitaendelea kuteseka kama watekesekavyo walivyoiba chaguzi zile za serikali za mitaa 2019. Yaani mkoa mzima wameshinda Ccm mapema asubuhi kabla ya uchaguzi.

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Mh. Rais Dkt. Samia,

Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania.

Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii. Maana ya kuilinda nchi ina mapana yake, kuna kulinda mipaka ya nchi, watu na mali zao, rasilimali za nchi, katiba n.k Hayo ni baadhi tu ya mambo muhimu uliyoapa kuyasimamia na mengineyo mengi yaliyomo ndani yake.

Mh. Rais, hali ya nchi hii kwa sasa sio nzuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi ila hali ni nzuri sana kwa watanzania wachache ambao kila uchao wanakusifia na kujikomba kwako ili waendelee kuneemesha matumbo yao na kujilimbikizia mali kwa wizi wa rasilimali za nchi hii na kujijenga kisiasa wakitegemea baada ya wewe kuachia kijiti waweze ku-take over na kuendeleza ufisadi. Nitakupa mifano kadhaa:

1. Hivi Rais kweli kabisa hujui Rais wa mawe (Mwigulu) anatumia nafasi yake kwa kujilimbikizia mali? anajitahidi kuzunguka huko na huko kwa kigezo cha kutafuta pesa kukusaidia kupata fedha za kuendesha nchi hii kwa kigezo cha mikopo nafuu ili hali yeye kama Paymaster wako anatumia hiyo fursa kuchota mabilioni ya fedha na kuficha nje ya nchi na kufungua makampuni mbalimbali ya kibiashara? Hivi hao TISS wana kazi gani hasa? kweli wanashindwa kukupa taarifa muhimu kama hizi with supporting evidence na wewe uweze kuchukua hatua? au ndio unaona huna mtu mbadala wa huyo Rais wa Mawe?

2. Kuna huyu kijana February Marope, hivi kweli Mh. Rais unashauriwa kuwa inabidi 1.5 Trilioni inahitajika kwa ajili ya kufumua miundombinu ya TANESCO na kuanza upya nchi nzima? na wewe unakubaliana na hizo hoja zao, hivi hujaona kuwa hicho ni kichaka cha upigaji? yaani Mh. unajua ni kiasi gani cha maumivu ambayo watanzania wanayapata kupitia upigaji huu wa hawa watu? unaweza kusema hilo litatekelezwa kupitia fedha ya mkopo au kupitia wahisani, but who will pay that? is not the tax paid by Tanzanians if not today, then some years to come they will pay it? Mama kuwa na huruma na watanzania. Kuna usemi unasema bora lawama kuliko fedhea. Fanya maamuzi magumu ili auche legacy katika nchi hii. Nikupe mfano mzuri mama labda utanielewa kwa hili, President J.K ruled this country for ten years before Magufuli. He did a lot of things, good and bad ones that I can't mention here. Lakini magufuli hakumaliza ten years, na toka afariki hadi sasa ni miaka miwili imepita, lakini legacy aliyoiacha hadi hii leo bado watu wanamkumbuka. japo alikuwa na ubabe, udikteta n.k lakini mazuri mengi aliyoyafanya bado watanzania mjini na vijijini wanamkumbuka, though alikwama kimataifa na kufinya demokrasia ila bado watu wanamkumbuka. Pointi yangu hapa ni kuwa pamoja na mengine yote ya kiudhaifu kama binadamu, lakini Mh. Simama kidete kusimamia rasilimali za nchi hii kwa manufaa ya watanzania. Kesho hutakuwa madarakani au duniani lakini mamilioni ya watanzania watakukumbuka kwa legacy utakayoiacha.

3. Rejea ripoti ya CAG, ona madudu ya TTCL, Air Tanzania - achilia mbali dili la ndege ya mizigo ambalo master minder wake ni Mwigulu (paymaster) -angalia pale ndani ya air tanzania palivyokuwa kichaka cha upigaji, angalia kadogosa na reli ya SGR anavyochakachua mabilioni ya watanzania kwa upigaji huku PM wako akiwa ndani ya mfumo. Kumi pale Bandarini sasa hivi kila mtu anafanya atakavyo, na TISS wapo ila nao wameamua kula kwa urefu wa kamba yao kama ulivyowaelekeza. Ona manunuzi ya magari ya serikali - 35 Billioni zimetumika kwa magari ambayo hayapo na hayajulikani yapo wapi? hivi hawa watu unawaogopa au? Shida ni nini hasa Mh. Rais?

4. Hivi unajua makaa ya mawe yanayotoka mkoani Ruvuma kule kijiji cha Ruanda kwa siku ni tani ngapi zinaondoka? unajua mashimo yaliyoko kule mgodini ukilinganisha na kinachowafaidisha watanzania? Unajua yale magari yaliyoandikwa 'Specialized' yanayotanda barabara zote - njia ya songea lindi mtwara, na songea iringa - moro yanamilikiwa na nani? unajua thamani ya ule mkataba upoje? mwite PM wako leo jioni muulize akupe majibu maana anajua uchafu wote japo najua hawezi kukuueleza ukweli kwa sababu ya personal interest, Biteko ndio jipu uchungu lilijivika ngozi ya uzalendo kwa kujidai mlinda madini ya nchi hii.

5. Mh. Rais, nimekueleza machache tu kati ya mengi yanayowaumiza watanzania. Lakini pengine yawezekana shida ikawa ni mfumo ulioukuta/urithi toka kwa watangulizi wako. Mimi nakushauri kwa moyo wa upendo kabisa, waletee watanzania katiba mpya. "HII NDIO LEGACY KUBWA AMBAYO UTAIACHA KWA WATANZANIA'. Jitokeze hadharani, sema kwa sasa katiba mpya ni kipaumbele chako. Kama watu wanateketeza mabilioni ya fedha kwa kujilimbikizia kwa maslahi binafsi, hivi wewe unashindwa kutumia BILIONI 50 kwa ajili ya katiba mpya? Kwa mtazamo wangu, ile pendekezo la katiba mpya ya Tume ya Warioba ndio itakuwa muarobaini kwa uchafu unaendelea sasa hivi nchini. Najua wapo wana CCM ambao kwa maslahi yao binafsi watakupinga kuhusu hili lakini ukweli ni kwamba utaheshimika kimataifa na pengine hadi kupewa tuzo maarufu duniani after your retirement na kuwa mwanamke wa mfano duniani kama utayafanyia kazi maoni yangu.

6. Mwisho, tambua timu nzima ya mawaziri waliokuzunguka ni wapigaji. Mwite DGS mpe special task na kuletee majibu. Swali la kizushi: hivi wale vyura wa kihansi kule marekani wataendelea kutumia mabilioni ya watanzania hadi lini?

NB: Kiubinadamu najua utakuwa umechukizwa na huu ujumbe wangu ukidhani labda sioni jitihada zako unazozifanya, no please unajitahidi sana tena sana kuwapambania watanzania pamoja na kuwa na weakness za hapa na pale kama binadamu tu wa kawaida, but for 80% bravo my dear President, lakini hilo halina maana kuwa tusikuambie ukweli pale panapohitajika ili uweze kufanya vizuri zaidi. Chukulia niliyokuambia hapo juu ni kama nimekaa nawe sehemu tunakunywa kikombe cha kahawa huku tunabadilishana mawazo.

As my ID implies: Next Presd. ni kweli ipo hivyo, ila sio kwa sasa, this will be by 2030s by then you will be called 'Retired President'.

I believe I will meet you one day and talk together.

Wishing you 'Ramadhan Kareem', and 'A prosperous Easter Holiday'.
Nilisema na ninaruudia tena, CAG ndiye atakayetumbuliwa, siyo wapigaji. Mama hana hata alama ya ukucha wa kumkunia mpigaji achilia mbali kumrarua.

Mama alipotoka na kutukana wapigaji hadharani, alikuwa anajaribu kuonesha yupo madarakani ingawa kiukweli ni alama tu. Nchi imeshikwa na wenyewe na hana cha kuwafanya.

Kama mkuu wa kaya, umegundua kuna wizi umefanyika, unatokaje kutukana hadaharani kabla ya kuwabaini na kuwawajibisha wahusika?
 
Mzanzibar yuko bize na maandalizi ya awamu ijayo ....huu wa Sasa aliupata kwa zali la mentali
 
Rais Samia achukue maamuzi magumu kuinusuru hii nchi, Hali ilipofikia ni mbaya sana.
Wanaompigia makofi na kumvisha kilemba Cha ukoka ndio wanaomwangusha, she is suppose to be serious on serious matters.
 
Hivi Kwa mfano,

Likatokea tetemeko likasababisha Mafuriko na kupelekea dar nzima Hadi Karibia Moro kufunikwa na maji,

Zipi zitakuwa athari za kiuchumi, kisiasa,kijamii, kiuongozi nk nk?

Nimeuliza swali tu Kwa mfano!!!
 
Loo umeandika kwa uchungu sana hongera zako kwanza.
Persea%20americana%20fruit%202.JPG
 
Mleta mada hii ni post ya kipumbavu kabisa. Unadhani Rais haoni hayo na hajasikia .Ripoti anayo yeye na anaifanyia kazi. Zingine ni kelele tu zisizo na lengo.
Nyinyi ndo mnaoifirisi hii nchi si ndiyo?Mtu katoa ushauri wa maana harafu wewe unaubeza na kumtukana?
Stupid kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom