Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.

GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
 
We hakuna HUO MTEREMKO TENA, maana ya kukopa na kulipa ni ili mfuko wa elimu uwe endelevu, ningekuelewa may be sehemu ya gharama za vyuo zidhaminiwe na serikali mfano serikali ilipe ada then gharama zingine ziwe mkopo
 
Karibu Genta wapo member walikuwa wanakutafuta humu jamvini , umeshapata ujumbe😆🏃.
Asante Mkuu nasikia wapo waliosema kuwa GENTAMYCINE nimekufa, wengine wakisema kuwa nimepigwa LIFE ( PERMANENT BAN ), wengine wakisema kuwa hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE imekuwa Merged na iliyokuwepo kwa muda na Kimkakati ya Poisonous huku Wapuuzi ( Mapopoma ) wachache wakionyesha Kufurahia kwa Kutoiona tena hi ID hapa JamiiForums.

Nawashukuru kwa yote ila nipo na nimejaa tele tu hapa JamiiForums na Siku ambayo ID hi haitaonekana hapa Milele ni pale tu Pumzi yangu ya mwisho niliyojazwa na Mwenyezi Mungu wakati akiniiumba Kwake Mbinguni na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hivi ikiisha.

Nimalizie tu kwa kuwapa Ujumbe wale Wote Wanaonichukia GENTAMYCINE hadi kuniombea Mabaya kuwa kama Kunichukia Kwao huwa ni Dawa basi wajitahudi wamalize Dozi ili wapone.

Nimebarikiwa zaidi lazima tu nichukiwe.
 
Mkuu nakusalimu kwa Jina la Jamhuri. Hoja yako ina mashiko sana. Ila tu ndiyo hivyo tena, Mabeberu hawataki kuona Nchi maskini kama Tanzania zikijimudu kwa lolote.

Hata kama Serikali ina uwezo wa kugharamia, lakini bado watatakiwa kufuata mifumo ya Mabeberu ya Cost Sharing.
 
Anza kutoa USHAURI kwenu kwa "PAKA" Rwanda, akae MEZANI na wapinzani wake akina FAUSTINE KAYUMBA NYAMWASA. 🙄🙄
Victorie Umuhoza Ingabire.

Then uje Kutoa USHAURI hapa TZ.🤣🤣🤣
 
we hakuna HUO MTEREMKO TENA, maana ya kukopa na kulipa ni ili mfuko wa elimu uwe endelevu, ningekuelewa may be sehemu ya gharama za vyuo zidhaminiwe na serikali mfano serikali ilipe ada then gharama zingine ziwe mkopo
Kwa Ubongo wako wa Panzi ningeshangaa sana kama ungeielewa Kiundani hii Hoja yangu.

Jitahidi mno kuanzia sasa ukiwa Unasali upunguze Kumlilia Mwenyezi Mungu akupe Pesa tu bali uwe unamlilia akupe Akili nyingi Kichwani ambazo kwa bahati mbaya huna na Ubongo wako umejaa tu Upepo wa Kusi sawa?
 
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.

GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Nilikumiss kuna mtu anajiita Mighter wanakufananisha nae. Kuna GENTAMYCINE mmoja tu duniani.
 
Nilikumiss kuna mtu anajiita Mighter wanakufananisha nae. Kuna GENTAMYCINE mmoja tu duniani.
Asante Mkuu nasikia wapo waliosema kuwa GENTAMYCINE nimekufa, wengine wakisema kuwa nimepigwa LIFE ( PERMANENT BAN ), wengine wakisema kuwa hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE imekuwa Merged na iliyokuwepo kwa muda na Kimkakati ya Poisonous huku Wapuuzi ( Mapopoma ) wachache wakionyesha Kufurahia kwa Kutoiona tena hi ID hapa JamiiForums.

Nawashukuru kwa yote ila nipo na nimejaa tele tu hapa JamiiForums na Siku ambayo ID hi haitaonekana hapa Milele ni pale tu Pumzi yangu ya mwisho niliyojazwa na Mwenyezi Mungu wakati akiniiumba Kwake Mbinguni na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hivi ikiisha.

Nimalizie tu kwa kuwapa Ujumbe wale Wote Wanaonichukia GENTAMYCINE hadi kuniombea Mabaya kuwa kama Kunichukia Kwao huwa ni Dawa basi wajitahudi wamalize Dozi ili wapone.

Nimebarikiwa zaidi lazima tu nichukiwe
 
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.

GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Unataka kuua vyuo wewe...Acha wakopeshwe masikini ila wenye uwezo walipe....Mimi naona aibu kusomeshewa mtoto wangu huku wapo ambao hata dawa ya malaria hawawezi nunua...Ukianza kuvifanya vyuo kutegemea budget ya central government badala ya loan ambayo ni angalau unaleta unafuu utaviua hivi vyuo kwa mifumo tuliyo nayo nchini kwetu
 
Back
Top Bottom