Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu karibu tena jamvini, najua majukumu ya kiinchi yalikuweka busy, hakika Mzee wa hoja nzito umerejea.Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.
GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Mkuu mwenyewe mzee wa shombo a.k.a niguse unuke is backAsante Mkuu nasikia wapo waliosema kuwa GENTAMYCINE nimekufa, wengine wakisema kuwa nimepigwa LIFE ( PERMANENT BAN ), wengine wakisema kuwa hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE imekuwa Merged na iliyokuwepo kwa muda na Kimkakati ya Poisonous huku Wapuuzi ( Mapopoma ) wachache wakionyesha Kufurahia kwa Kutoiona tena hi ID hapa JamiiForums.
Nawashukuru kwa yote ila nipo na nimejaa tele tu hapa JamiiForums na Siku ambayo ID hi haitaonekana hapa Milele ni pale tu Pumzi yangu ya mwisho niliyojazwa na Mwenyezi Mungu wakati akiniiumba Kwake Mbinguni na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hivi ikiisha.
Nimalizie tu kwa kuwapa Ujumbe wale Wote Wanaonichukia GENTAMYCINE hadi kuniombea Mabaya kuwa kama Kunichukia Kwao huwa ni Dawa basi wajitahudi wamalize Dozi ili wapone.
Nimebarikiwa zaidi lazima tu nichukiwe.
Kuna kitu anamaanisha,Hata akifanya hivyo bado CHADEMA watamwita dikiteta,kisa kesi ya Mbowe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hana hizo gutsRais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.
GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Kwa budget ipi? Kuwalisha tu watoto wa primaries uji na kashata issue sembuse kumhudumia wa vyuo kikuuRais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.
GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Jamaa una account ngapi?Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.
GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Hahahahahaha bado wanapiga dozi sijui kama itaisha karibuni.Asante Mkuu nasikia wapo waliosema kuwa GENTAMYCINE nimekufa, wengine wakisema kuwa nimepigwa LIFE ( PERMANENT BAN ), wengine wakisema kuwa hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE imekuwa Merged na iliyokuwepo kwa muda na Kimkakati ya Poisonous huku Wapuuzi ( Mapopoma ) wachache wakionyesha Kufurahia kwa Kutoiona tena hi ID hapa JamiiForums.
Nawashukuru kwa yote ila nipo na nimejaa tele tu hapa JamiiForums na Siku ambayo ID hi haitaonekana hapa Milele ni pale tu Pumzi yangu ya mwisho niliyojazwa na Mwenyezi Mungu wakati akiniiumba Kwake Mbinguni na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hivi ikiisha.
Nimalizie tu kwa kuwapa Ujumbe wale Wote Wanaonichukia GENTAMYCINE hadi kuniombea Mabaya kuwa kama Kunichukia Kwao huwa ni Dawa basi wajitahudi wamalize Dozi ili wapone.
Nimebarikiwa zaidi lazima tu nichukiwe.
Hayà mawazo yako yanafanana ya Yale ya LOWASA wa CHADEMA 2015. Aidha ulikuwa hujamuelewa kama unavyofunguka kivingine leo.Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.
GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Wewe mzito wa kuelewa, wote watakaochaguliwa kuingia chuo kikuu watasoma hawahitaji kuomba mkopo na watagharamiwa mahitaji yao yote chuoni.Unataka kuua vyuo wewe...Acha wakopeshwe masikini ila wenye uwezo walipe....Mimi naona aibu kusomeshewa mtoto wangu huku wapo ambao hata dawa ya malaria hawawezi nunua...Ukianza kuvifanya vyuo kutegemea budget ya central government badala ya loan ambayo ni angalau unaleta unafuu utaviua hivi vyuo kwa mifumo tuliyo nayo nchini kwetu
Wewe mwepesi wa kuelewa kwa hakika ila nadhani huna uzoefu tu....Tunaomba mtuachie mikopo yetu na watoto wa masikini wapewe wengi zaidi na zaidi hili ndilo la msingi....Mikopo ndiyo budget ya uhakika kwa vyuo vyetu vya umma.Wewe mzito wa kuelewa, wote watakaochaguliwa kuingia chuo kikuu watasoma hawahitaji kuomba mkopo na watagharamiwa mahitaji yao yote chuoni.