Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

Kwa Ubongo wako wa Panzi ningeshangaa sana kama ungeielewa Kiundani hii Hoja yangu.

Jitahidi mno kuanzia sasa ukiwa Unasali upunguze Kumlilia Mwenyezi Mungu akupe Pesa tu bali uwe unamlilia akupe Akili nyingi Kichwani ambazo kwa bahati mbaya huna na Ubongo wako umejaa tu Upepo wa Kusi sawa?
we ndo unajiona una akili sana sio...hope less creature
 
Unataka kuua vyuo wewe...Acha wakopeshwe masikini ila wenye uwezo walipe....Mimi naona aibu kusomeshewa mtoto wangu huku wapo ambao hata dawa ya malaria hawawezi nunua...Ukianza kuvifanya vyuo kutegemea budget ya central government badala ya loan ambayo ni angalau unaleta unafuu utaviua hivi vyuo kwa mifumo tuliyo nayo nchini kwetu
Mkuu una Akili sana Hoja yako nimeielewa.
 
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.

GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
kamserereko
 
Leo umekuja kwa ID yako tuliyozoea.
 
Bila Katiba Mpya atasahaulika kama Magufuli tu hadi leo hatuna habari naye tena.
 
Asante Mkuu nasikia wapo waliosema kuwa GENTAMYCINE nimekufa, wengine wakisema kuwa nimepigwa LIFE ( PERMANENT BAN ), wengine wakisema kuwa hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE imekuwa Merged na iliyokuwepo kwa muda na Kimkakati ya Poisonous huku Wapuuzi ( Mapopoma ) wachache wakionyesha Kufurahia kwa Kutoiona tena hi ID hapa JamiiForums.

Nawashukuru kwa yote ila nipo na nimejaa tele tu hapa JamiiForums na Siku ambayo ID hi haitaonekana hapa Milele ni pale tu Pumzi yangu ya mwisho niliyojazwa na Mwenyezi Mungu wakati akiniiumba Kwake Mbinguni na kunifanya niwe Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hivi ikiisha.

Nimalizie tu kwa kuwapa Ujumbe wale Wote Wanaonichukia GENTAMYCINE hadi kuniombea Mabaya kuwa kama Kunichukia Kwao huwa ni Dawa basi wajitahudi wamalize Dozi ili wapone.

Nimebarikiwa zaidi lazima tu nichukiwe.
Mightier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.

GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Hakuna kitu kama hicho duniani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.

GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Serikali inakwenda kwa hatua,kwa sasa uchumi haujasimama vizuri itakuwa mzigo mkubwa kwa serikali na walipa kodi.

Mwaka ujao wamesema watafuta ada ya form six kwa hiyo itakuwa hatua nzuri ya kwenda huko,hilo linawezekana mwaka mmja kabla ya uchaguzi mkuu sio saizi.
 
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.

GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Afanye tu ili watu wafurahi lakini asitegemee kukumbukwa,kuna mengi sana yalifanywa na marais waliopita lakini leo hii watu wameshasahau na badala yake watu wanaongelea mabaya yao,na hatimaye mema yote yamefunikwa...
 
Back
Top Bottom