GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asante Mkuu nasikia wapo waliosema kuwa GENTAMYCINE nimekufa, wengine wakisema kuwa nimepigwa LIFE ( PERMANENT BAN ), wengine wakisema kuwa hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE imekuwa Merged na iliyokuwepo kwa muda na Kimkakati ya Poisonous huku Wapuuzi ( Mapopoma ) wachache wakionyesha Kufurahia kwa Kutoiona tena hi ID hapa JamiiForums.Karibu Genta wapo member walikuwa wanakutafuta humu jamvini , umeshapata ujumbe😆🏃.
Kwa Ubongo wako wa Panzi ningeshangaa sana kama ungeielewa Kiundani hii Hoja yangu.we hakuna HUO MTEREMKO TENA, maana ya kukopa na kulipa ni ili mfuko wa elimu uwe endelevu, ningekuelewa may be sehemu ya gharama za vyuo zidhaminiwe na serikali mfano serikali ilipe ada then gharama zingine ziwe mkopo
Mightier ndiyo nani? Naitwa GENTAMYCINE sawa?Mightier bwana.
Hoja yako ingekuwa na mashiko iwapo ungetaja na Sababu ni zipi zitakazomshawishi Rais abadili utaratibu wa sasa.
Wanachuo Wanawake wanaathirika vipi tofauti na wanaume?.
Haa HaaMightier bwana.
Hoja yako ingekuwa na mashiko iwapo ungetaja na Sababu ni zipi zitakazomshawishi Rais abadili utaratibu wa sasa.
Katiba Mpya katika Taifa lenye Watu ambao bado 75% ya Watu wake uelewa Wao ni Kiduchu ( Mdogo ) ina faida gani?mi naona atakumbukwa na kuandikiwa katika vitabu vya historia kama atadhubutu kuwapatia watanzania KATIBA mpya na si vyovyote vinginevyo.
Nilikumiss kuna mtu anajiita Mighter wanakufananisha nae. Kuna GENTAMYCINE mmoja tu duniani.Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.
GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.
Nilikumiss kuna mtu anajuta Mighter wanakufananisha nae. Kuna GENTAMYCINE mmoja tu duniani.
Asante Mkuu nasikia wapo waliosema kuwa GENTAMYCINE nimekufa, wengine wakisema kuwa nimepigwa LIFE ( PERMANENT BAN ), wengine wakisema kuwa hii Brand ID yangu ya GENTAMYCINE imekuwa Merged na iliyokuwepo kwa muda na Kimkakati ya Poisonous huku Wapuuzi ( Mapopoma ) wachache wakionyesha Kufurahia kwa Kutoiona tena hi ID hapa JamiiForums.Nilikumiss kuna mtu anajiita Mighter wanakufananisha nae. Kuna GENTAMYCINE mmoja tu duniani.
Kwa Katiba mpya, Tena atakumbukwa sana na Wazanzibari wenzake.mi naona atakumbukwa na kuandikiwa katika vitabu vya historia kama atadhubutu kuwapatia watanzania KATIBA mpya na si vyovyote vinginevyo.
Unataka kuua vyuo wewe...Acha wakopeshwe masikini ila wenye uwezo walipe....Mimi naona aibu kusomeshewa mtoto wangu huku wapo ambao hata dawa ya malaria hawawezi nunua...Ukianza kuvifanya vyuo kutegemea budget ya central government badala ya loan ambayo ni angalau unaleta unafuu utaviua hivi vyuo kwa mifumo tuliyo nayo nchini kwetuRais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao.
GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na litakufanya ukumbukwe Milele na Milele na kuwa ni Alama ya Kutukuka kwa nchi ya Tanzania.