Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

we ndo unajiona una akili sana sio...hope less creature
 
Mkuu una Akili sana Hoja yako nimeielewa.
 
kamserereko
 
Leo umekuja kwa ID yako tuliyozoea.
 
Bila Katiba Mpya atasahaulika kama Magufuli tu hadi leo hatuna habari naye tena.
 
Mightier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Hakuna kitu kama hicho duniani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Serikali inakwenda kwa hatua,kwa sasa uchumi haujasimama vizuri itakuwa mzigo mkubwa kwa serikali na walipa kodi.

Mwaka ujao wamesema watafuta ada ya form six kwa hiyo itakuwa hatua nzuri ya kwenda huko,hilo linawezekana mwaka mmja kabla ya uchaguzi mkuu sio saizi.
 
Afanye tu ili watu wafurahi lakini asitegemee kukumbukwa,kuna mengi sana yalifanywa na marais waliopita lakini leo hii watu wameshasahau na badala yake watu wanaongelea mabaya yao,na hatimaye mema yote yamefunikwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…