Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

Mighter the fighter...tukirudi kwenye hoja nafikiri wangerudisha ile 8% au wafanye iwe 5% wawaongezee graduate purchasing power.
 
Hata akifanya hivyo bado CHADEMA watamwita dikiteta,kisa kesi ya Mbowe😂😂😂
 
Mkuu karibu tena jamvini, najua majukumu ya kiinchi yalikuweka busy, hakika Mzee wa hoja nzito umerejea.
 
Hata kama Tanzania ingekua na uwezo huo ambao hatuna nadhani kukopeshwa kuna ile sense of responsibility. Hata US ni mkopo. Ila mbona tanzania pia kuna grant ya serikali kama uki faulu vizuri
 
Huwezi somesha bure kila mtu mwenye Sifa za kusoma chuo kikuu nchi itafilisika Nyerere alijaribu Hilo yakamshinda hela ikawa hamna ndio ikaanzishwa bodi ya mikopo na yenyewe mikopo ikawa haiwezi kutosha wote vikawekwa vigezo kigezo kikuu kikawa kinalenga maeneo ambayo soko la ajira Lina uhitaji mkubwa sekta binafsi na umma ambayo yakaonekana ni digrii za fani za sayansi kama teknology,Engineering ,Tiba na kilimo na ujenzi ambako soko lilionyesha uwezo wa kuwachukua na hivyo mikopo kuweza kulipika sababu ya kupatikana ajira

Katikati hapo kukabadilika mikopo Sifa ikawa inatolewa kwa aliyesoma shule za serikali hasa bila kujali anasomea nini.Matokeo wamemaliza digrii mikopo hailipiki sababu ajira hawana!!

Sasa hivi nimpongeze Mama kaamua asilimia 100 wapewe wale familia maskini kabisa watoka kaya maskini ambao walikuwa wakitegemea familia zao pesa za TASAF toka huko chini imekaa vizuri

Huku juu Taifa kutoa mikopo Liangalie Soko la ajira linasemaje liwe la ndani ya nchi au nje na serikali na sekta binafsi ina uhitaji mkubwa eneo lipi? Narudia uhitaji mkubwa uko wapi ndiko mikopo ya elimu itolewe huko
Hata Kama kusomesha bure kulenge huko kwenye rare skills ambazo zinahotaji kubwa mno sekta binafsi na umma ndani na nje ya nchi ili kuweko uhakika wa hiyo mikopo kurudi iweze kutumika kukopesha na wengine yaani revolving fund
 
Mkuu mwenyewe mzee wa shombo a.k.a niguse unuke is back
 
Hana hizo guts
 
Kwa budget ipi? Kuwalisha tu watoto wa primaries uji na kashata issue sembuse kumhudumia wa vyuo kikuu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Enzi za Mwalimu elimu ya chuo ilikuwa bure ,ukichaguliwa unasubiri bumu uendeshe maisha.....kila kitu serikali inagharamia 100%.
 
Jamaa una account ngapi?
 
Gentamicin kama Kigogo2014
 
[emoji256][emoji256][emoji891][emoji256][emoji891][emoji3083] sijui ni upi kati ya hii?
 
Hahahahahaha bado wanapiga dozi sijui kama itaisha karibuni.

Hivi haji ni dugu ako? Eeee huyo huyo aji [emoji1787]
 
Hayà mawazo yako yanafanana ya Yale ya LOWASA wa CHADEMA 2015. Aidha ulikuwa hujamuelewa kama unavyofunguka kivingine leo.
 
Wewe mzito wa kuelewa, wote watakaochaguliwa kuingia chuo kikuu watasoma hawahitaji kuomba mkopo na watagharamiwa mahitaji yao yote chuoni.
 
Wewe mzito wa kuelewa, wote watakaochaguliwa kuingia chuo kikuu watasoma hawahitaji kuomba mkopo na watagharamiwa mahitaji yao yote chuoni.
Wewe mwepesi wa kuelewa kwa hakika ila nadhani huna uzoefu tu....Tunaomba mtuachie mikopo yetu na watoto wa masikini wapewe wengi zaidi na zaidi hili ndilo la msingi....Mikopo ndiyo budget ya uhakika kwa vyuo vyetu vya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…