Umeongea vzr mkuu. Kwenda kujenga uwanja mkubwa porini huko hata hotel nzuri hakuna sijui hao wageni wakija watafikia wapi. Hapo viwanja kujengwa km ni vitatu iwe mwanza, arusha na Tanga overMbona viwanja ni vitatawanyika sana. Labda Dar waongeze kimoja, Tanga 1 na Pwani kimoja. Tena vijengwe maeneo karibia na Dar.
Wazo zuri ila kama ni Jamhuri Morogoro ni bora kujenga kipya ili kuweka ukaribu kati ya kile cha Dom na Dar ikibidi kijengwe nje ya mji halfway ya Dar na Dodoma ili kuwa na viwanja vya kisasa kwenye maeneo yatakayopangwa vizuri kuleta sura mpya ya kimataifaAidha, Serikali ifanye maboresho makubwa katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza, Uhuru Dar es Salaam na Jamhuri Morogoro Ili miji hiyo pamoja na viwanja vipya vitakavyojengwa iweze kuandaa Mashindano kwa pamoja.
Hivi uwanja ukijengwa unadhani ndio kwisha habari yake..? 🤣🤣 wewe ni mpuuzi acha nikueleweshe kidgo maana mpumbavu wewe unaniita mm mpumbavu ikiwa hujatoa huo upumbavu ulio nao kochwani.Wewe ni zwawa kabisa,unabisha vitu genuine..
Uhitaji kwako ni upi? Na huo uhitaji uko Mwanza ila Mbeya hakuna au?
Nani aliyesema kiwanja kitakuwa mali ya timu? Wapi serikali itapata mapato mengi kwenye timu au ambako viwanja vinakaa bure?
Nakuunga mkonoNapendekeza miji ifuatayo ndio iwe Mwenyeji wa Mashindano,
Dar es salaam,
Mwanza,
Arusha,
Dodoma,
Mbeya,
Zanzibar.
Dah pameshajaaaMbona viwanja ni vitatawanyika sana. Labda Dar waongeze kimoja, Tanga 1 na Pwani kimoja. Tena vijengwe maeneo karibia na Dar.
Wafanya biashara wa hoteli nao wataiona hiyo fursa. Kwanini hatupendi kuikuza miji ambayo bado haijakua?!!Umeongea vzr mkuu. Kwenda kujenga uwanja mkubwa porini huko hata hotel nzuri hakuna sijui hao wageni wakija watafikia wapi. Hapo viwanja kujengwa km ni vitatu iwe mwanza, arusha na Tanga over
Wivu tuu wa Sukuma gang nothing elseWafanya biashara wa hoteli nao wataiona hiyo fursa. Kwanini hatupendi kuikuza miji ambayo bado haijakua?!!
Kila kitu kinalundikwa Dar na kwa kuibia Dodoma, miji mingine lini?
Tubadilike
Ipo miji ambayo ina hivyo vitu kwa udogo toka kitambo na ina utalii ndani yake na mazingira yake yana ruhusu tatizo haisemwi. Mfano Tanga ni mji ambao hautajwi kwenye vitu kama hivi lakini ni mji ambao ungesimamiwa vzr naimani ungekua karibu na ilivyo dar.Wafanya biashara wa hoteli nao wataiona hiyo fursa. Kwanini hatupendi kuikuza miji ambayo bado haijakua?!!
Kila kitu kinalundikwa Dar na kwa kuibia Dodoma, miji mingine lini?
Tubadilike
Miundombinu mingine itajengwa sambamba na hiyo mingine..Hivi uwanja ukijengwa unadhani ndio kwisha habari yake..? 🤣🤣 wewe ni mpuuzi acha nikueleweshe kidgo maana mpumbavu wewe unaniita mm mpumbavu ikiwa hujatoa huo upumbavu ulio nao kochwani.
Angalia hapa 👇🏻
Uwanja unapojengwa wata angaalia je mji husika una miundo mbinu ya kutosha hususani viwanja vya ndege vikubwa na vyenye hadhi ya kimataifa moja hiyo. Pili kuna hoteli za kufikia wageni wa kimataifa wakija...? Mpaka hapo nadhani umepeta mwanga kidogo. Mbeya hakuna hata hoteli nyingi kubwa za kulaza watu wa kimataifa. Ujitambue na kama huna adabu tutakufunza adabu
Viwanja vya ndege vikubwa.Miundombinu mingine itajengwa sambamba na hiyo mingine..
Miundombinu gani zaidi ya Hotels Mzee? Unajenga uwanja na training grounds.
Hoja ni kutumia hela ya serikali (kodi za watu wote)kujenga uwanja wa chama cha siasa (si cha watu wote, ni cha wanachama tu)Kwa hiyo ukiwa wa chama cha mapinduzi ndio sio uwanja? Kazi yake ni nini?
kiwanja cha ccmCcm Kirumba sio uwanja? Ni kuuboresha na kuufunika tuu
Mkuu mm.sio sukuma gang mm ni mtu wa kaskazini na sina hata chembe ya sukuma gang. Na siwapendi hao sukuma gang ila napenda kusimamia usawa kwa kuangalia uhitaji uliopo.Wivu tuu wa Sukuma gang nothing else
Kuwa na timu tatu ligi kuu sio tatizo. Afu jifunze kujitambua mm sio mpumbavu mpuuzi wewe. Hizo timu basi zijijengee viwanja vyao. Viwanja vitakavyo jengwa na serikali sio mali ya vilabu hivyo. Tumia akili yalo vzr? Huna hoja afu unatukana watu.
Amenitukana mno sema naona kaelewa ni memuelewesha hivyo hivyo🤣🤣ukiona mtu anatukana Basi ujue ameshindwa kutetea hoja yake,tetea hoja Kwanini uwanja usijengwe Mbeya ujengwe Mwanza?kwanini ujengwe Mbeya?!!siyo mnatukanana😬
Ila wasisahau pia training facilities maana sio viwanja tuu. Pia hotels za nyota tano.Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT..
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya kuomba kuandaa na kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027.
Hayo yamesemwa na Rais Samia wakati akipokea Kombe la Dunia na kuwataka Viongozi wa Michezo na wengine kwenye sekta mbalimbali wajiandae Ili kufanikisha Nia hiyo.
Aidha, Rais Samia amesema inahitajika walau viwanja vikubwa vingine kama 3 hivi Ili kufanya jumla ya viwanja vyenye hadhi vipatavyo 6.
Mimi kama mdau wa Michezo naunga mkono wazo hili la Serikali na Kwa hiyo kuanzia mwaka huu waanze kutenga pesa za kujenga viwanja na miundombinu mingine.
Napendekeza Viwanja hivyo vipya na training grounds vijengwe kwenye miji ifuatayo;
1. Dodoma-Seating Capacity 80,000-100,000
2. Mbeya -Seating Capacity 50,000-60,000
3. Arusha- Seating Capacity 40,000-50,000
4. Unguja/Zanzibar- Seating Capacity 20,000-40,000
Aidha, Serikali ifanye maboresho makubwa katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza, Uhuru Dar es Salaam na Jamhuri Morogoro Ili miji hiyo pamoja na viwanja vipya vitakavyojengwa iweze kuandaa Mashindano kwa pamoja.
Kazi iendelee