Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😅😅😅😅Sukuma gang ni itikadi iliyoasisiwa na Wasukuma wa Mwendazake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅Sukuma gang ni itikadi iliyoasisiwa na Wasukuma wa Mwendazake
Wananchi wenyewe wabaili kama nini....wamechangksha mil 60 tuu mpaka leo... Hiyo hela sii inaisha kusafisha uwanja tuu🤣🤣🤣🤣Pamoja na kuwa serekali imeahid kujenga pia vilabu navyo viwe na malengo hayo Kama simba na yanga wanapaswa kuwa na viwanja vyao
Sasa kama hata hujui timu zilizopo wewe unachojua ni k ya mke wako tuu,jikite huko soka tuachie Mbeya.Timu zipi kelele kibao kwa kipi mlicho nacho kaeni porini unyakyusa mwingi ushamba tu
Itafikiwa mda ukifikaMbona Chigoma yetu mnaipita kama hamuioni vile
Mwanza ni washamba wapumbafu. Mkoa mzima wamekalia majungu TU. Miaka nenda rudi hawana team league kuu.Kuwa na timu tatu ligi kuu sio tatizo. Afu jifunze kujitambua mm sio mpumbavu mpuuzi wewe. Hizo timu basi zijijengee viwanja vyao. Viwanja vitakavyo jengwa na serikali sio mali ya vilabu hivyo. Tumia akili yalo vzr? Huna hoja afu unatukana watu.
Wapi Kuna soka kati ya Tanga na Mbeya?Mleta uzi ni mshamba uache kujenga Tanga ukajenge kwa ujinga wako sijui Arusha na mbeya Kama hujui soka kaa utulize kibox manyoya
1. Mbeya CityTimu zipi kelele kibao kwa kipi mlicho nacho kaeni porini unyakyusa mwingi ushamba tu
MbeyaWapi Kuna soka kati ya Tanga na Mbeya?
Mama Anaupiga Mwingi SanaNawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT..
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya kuomba kuandaa na kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027.
Hayo yamesemwa na Rais Samia wakati akipokea Kombe la Dunia na kuwataka Viongozi wa Michezo na wengine kwenye sekta mbalimbali wajiandae Ili kufanikisha Nia hiyo.
Aidha, Rais Samia amesema inahitajika walau viwanja vikubwa vingine kama 3 hivi Ili kufanya jumla ya viwanja vyenye hadhi vipatavyo 6.
Mimi kama mdau wa Michezo naunga mkono wazo hili la Serikali na Kwa hiyo kuanzia mwaka huu waanze kutenga pesa za kujenga viwanja na miundombinu mingine.
Napendekeza Viwanja hivyo vipya na training grounds vijengwe kwenye miji ifuatayo;
1. Dodoma-Seating Capacity 80,000-100,000
2. Mbeya -Seating Capacity 50,000-60,000
3. Arusha- Seating Capacity 40,000-50,000
4. Unguja/Zanzibar- Seating Capacity 20,000-40,000
Aidha, Serikali ifanye maboresho makubwa katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza, Uhuru Dar es Salaam na Jamhuri Morogoro Ili miji hiyo pamoja na viwanja vipya vitakavyojengwa iweze kuandaa Mashindano kwa pamoja.
Kazi iendelee
Uwanja wa taifa sio wa vilabu. Timu zijijengee zenyewe. Hizo club sio za serikali hivyo zijipangeMwanza ni washamba wapumbafu. Mkoa mzima wamekalia majungu TU. Miaka nenda rudi hawana team league kuu.
Huko kumejaa matawi makubwa ya yanga. Sasa uwanja wajengewe wa mini au kufugia ng'ombe?
👇Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT..
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya kuomba kuandaa na kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027.
Hayo yamesemwa na Rais Samia wakati akipokea Kombe la Dunia na kuwataka Viongozi wa Michezo na wengine kwenye sekta mbalimbali wajiandae Ili kufanikisha Nia hiyo.
Aidha, Rais Samia amesema inahitajika walau viwanja vikubwa vingine kama 3 hivi Ili kufanya jumla ya viwanja vyenye hadhi vipatavyo 6.
Mimi kama mdau wa Michezo naunga mkono wazo hili la Serikali na Kwa hiyo kuanzia mwaka huu waanze kutenga pesa za kujenga viwanja na miundombinu mingine.
Napendekeza Viwanja hivyo vipya na training grounds vijengwe kwenye miji ifuatayo;
1. Dodoma-Seating Capacity 80,000-100,000
2. Mbeya -Seating Capacity 50,000-60,000
3. Arusha- Seating Capacity 40,000-50,000
4. Unguja/Zanzibar- Seating Capacity 20,000-40,000
Aidha, Serikali ifanye maboresho makubwa katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza, Uhuru Dar es Salaam na Jamhuri Morogoro Ili miji hiyo pamoja na viwanja vipya vitakavyojengwa iweze kuandaa Mashindano kwa pamoja.
Kazi iendelee
Lakini hayo yaende sambamba na kuiandaa timu yetu. Ifike japo robo fainali. Au mnaonaje wananchi wenzangu?
Yaani Mwanza hakuna kiwanja kipya halafu Zenji wenye kiwanja kizuri wanajengewe kingine kipya, huo ni ubaguzi SSH.
Ccm Kirumba sio uwanja? Ni kuuboresha na kuufunika tuu
Eti hamupendwi nan asiyejua wanyakyusa washamba kaleni maparachichi mlishaanza kutaka kujitenga na washamba wenzenu1. Mbeya City
2. Tanzania prison/ Mecco mbeya
3. Mbeya Kwanza
4. Ihefu FC
5. Kengold FC
6. BOMA FC
Hizo zote ziko Mbeya, hata kama hupendi ukweli ndio huo.
Unaumwa wewe Tanga iko juu toka leta wachezaji wakoWapi Kuna soka kati ya Tanga na Mbeya?
Usifananishe Tanga nyumba ya vipaji wa wajinga wajinga washamba kijana fuatilia mtashinda mashindano ya ushamba sio sokaWapi Kuna soka kati ya Tanga na Mbeya?