Rais Samia: Tanzania inakusudia kuandaa Mashindano ya AFCON 2027. Viwanja 3 vipya kujengwa

Pamoja na kuwa serekali imeahid kujenga pia vilabu navyo viwe na malengo hayo Kama simba na yanga wanapaswa kuwa na viwanja vyao
Wananchi wenyewe wabaili kama nini....wamechangksha mil 60 tuu mpaka leo... Hiyo hela sii inaisha kusafisha uwanja tuu🤣🤣🤣🤣

Sie tunalzimisha tuu hizo hela za afcon bora tuwakopeshe vijan tuu majobless
 
Kituo cha Michezo kujengwa Zanzibar 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220603-105021.png
    Screenshot_20220603-105021.png
    148.2 KB · Views: 14
Kuwa na timu tatu ligi kuu sio tatizo. Afu jifunze kujitambua mm sio mpumbavu mpuuzi wewe. Hizo timu basi zijijengee viwanja vyao. Viwanja vitakavyo jengwa na serikali sio mali ya vilabu hivyo. Tumia akili yalo vzr? Huna hoja afu unatukana watu.
Mwanza ni washamba wapumbafu. Mkoa mzima wamekalia majungu TU. Miaka nenda rudi hawana team league kuu.

Huko kumejaa matawi makubwa ya yanga. Sasa uwanja wajengewe wa mini au kufugia ng'ombe?
 
Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT..

Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya kuomba kuandaa na kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027.

Hayo yamesemwa na Rais Samia wakati akipokea Kombe la Dunia na kuwataka Viongozi wa Michezo na wengine kwenye sekta mbalimbali wajiandae Ili kufanikisha Nia hiyo.

Aidha, Rais Samia amesema inahitajika walau viwanja vikubwa vingine kama 3 hivi Ili kufanya jumla ya viwanja vyenye hadhi vipatavyo 6.

Mimi kama mdau wa Michezo naunga mkono wazo hili la Serikali na Kwa hiyo kuanzia mwaka huu waanze kutenga pesa za kujenga viwanja na miundombinu mingine.

Napendekeza Viwanja hivyo vipya na training grounds vijengwe kwenye miji ifuatayo;

1. Dodoma-Seating Capacity 80,000-100,000

2. Mbeya -Seating Capacity 50,000-60,000

3. Arusha- Seating Capacity 40,000-50,000

4. Unguja/Zanzibar- Seating Capacity 20,000-40,000

Aidha, Serikali ifanye maboresho makubwa katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza, Uhuru Dar es Salaam na Jamhuri Morogoro Ili miji hiyo pamoja na viwanja vipya vitakavyojengwa iweze kuandaa Mashindano kwa pamoja.

Kazi iendelee
Mama Anaupiga Mwingi Sana
 
Mwanza ni washamba wapumbafu. Mkoa mzima wamekalia majungu TU. Miaka nenda rudi hawana team league kuu.

Huko kumejaa matawi makubwa ya yanga. Sasa uwanja wajengewe wa mini au kufugia ng'ombe?
Uwanja wa taifa sio wa vilabu. Timu zijijengee zenyewe. Hizo club sio za serikali hivyo zijipange
 
Maandalizi ya AFCON yanaendelea 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220603-163413.png
    Screenshot_20220603-163413.png
    167 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220603-143533.png
    Screenshot_20220603-143533.png
    137.6 KB · Views: 13
Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT..

Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya kuomba kuandaa na kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027.

Hayo yamesemwa na Rais Samia wakati akipokea Kombe la Dunia na kuwataka Viongozi wa Michezo na wengine kwenye sekta mbalimbali wajiandae Ili kufanikisha Nia hiyo.

Aidha, Rais Samia amesema inahitajika walau viwanja vikubwa vingine kama 3 hivi Ili kufanya jumla ya viwanja vyenye hadhi vipatavyo 6.

Mimi kama mdau wa Michezo naunga mkono wazo hili la Serikali na Kwa hiyo kuanzia mwaka huu waanze kutenga pesa za kujenga viwanja na miundombinu mingine.

Napendekeza Viwanja hivyo vipya na training grounds vijengwe kwenye miji ifuatayo;

1. Dodoma-Seating Capacity 80,000-100,000

2. Mbeya -Seating Capacity 50,000-60,000

3. Arusha- Seating Capacity 40,000-50,000

4. Unguja/Zanzibar- Seating Capacity 20,000-40,000

Aidha, Serikali ifanye maboresho makubwa katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza, Uhuru Dar es Salaam na Jamhuri Morogoro Ili miji hiyo pamoja na viwanja vipya vitakavyojengwa iweze kuandaa Mashindano kwa pamoja.

Kazi iendelee
👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220603-165837.png
    Screenshot_20220603-165837.png
    79.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220603-165900.png
    Screenshot_20220603-165900.png
    161.1 KB · Views: 12
wataifishe mali za hayati Mayanga alizozipata kwa kuwateka na kuwapora akina Manji kisha pesa itakayopatikana ielekezwe huko kwenye viwanja
 
1. Mbeya City
2. Tanzania prison/ Mecco mbeya
3. Mbeya Kwanza
4. Ihefu FC
5. Kengold FC
6. BOMA FC

Hizo zote ziko Mbeya, hata kama hupendi ukweli ndio huo.
Eti hamupendwi nan asiyejua wanyakyusa washamba kaleni maparachichi mlishaanza kutaka kujitenga na washamba wenzenu
 
Back
Top Bottom