#COVID19 Rais Samia: Tanzania tuna wagonjwa wa Wimbi la Tatu la Corona

Mkakati mahsusi uandaliwe ili kukabiliana na wimbi la Tatu la Covid hasa kwa Wananchi wenye vipato vya chini.

Lockdown itaangamiza wengi kwa njaa, muhimu ni kuchukua taadhali na kujiwekea akiba hasa Nishati, Chakula, Maji na kupunguza Safari zisizo za lazima/mikusanyiko.
 
Moja ya tahadhari ni kupunguza au kuacha mikusanyiko isiyo ya lazima!

Sasa yeye badala ya kuonyesha mfano kwa vitendo, anaenda kukusanyika na hao mapadri! Tena wamekusanyika ndani ya jengo. Siyo nje kwenye hewa inayozunguka vizuri.

Halafu kuna kwaya ilikuwa inaimba. Unapoimba huwa kuna vichembe chembe vya mate vinavyoruka. Na kama upo karibu na wengine, vinaweza kuwadondokea hao watu kirahisi sana.

Hayupo serious huyo mama. Anatoa tu maneno ya kuwafurahisha baadhi ya watu lakini vitendo vyake havionyeshi kama yuko serious.

Marekani huko shughuli za kikanisa zilisitishwa kabisa na watu wakawa wanasali kupitia mitandao, Zoom, YouTube, Facebook, nk.
 
Watu gani hao?

Nyie madalali wa machanjo ya wazungu mmechanganyikiwa sio bure!

Mtaani hakuna corona. HAIPO HAIPO HAIPO.

HAIPOOO!

Corona ipo kwenye magazeti na TV tuuuu!!
Mtaongea kila lugha safari hii, ila mjue tupo zama zingine sio zile za yule aliyekufa na hatarudi tena hivyo mbadilike tu
 
Na ni bora aliwafokea hao maaskofu uchwara.

Hakuna dini inayofundisha kutapeli watu kwa magonjwa ya kuigiza.

Nyinyi madalali na vibaraka wa wazungu kiama chenu hakipo mbali.

Hatuwezi kuruhusu mliangamize taifa kwa machanjo yenye sumu.
CORONA imeanzia China. Acha kusingia wazungu kuhusu hilo.
 
Moja ya tahadhari ni kupunguza au kuacha mikusanyiko isiyo ya lazima!

Sasa yeye badala ya kuonyesha mfano kwa vitendo, anaenda kukusanyika na hao mapadri! Tena wamekusanyika ndani ya jengo. Siyo nje kwenye hewa inayozunguka vizuri.

Halafu kuna kwaya ilikuwa inaimba. Unapoimba huwa kuna vichembe chembe vya mate vinavyoruka. Na kama upo karibu na wengine, vinaweza kuwadondokea hao watu kirahisi sana.

Hayupo serious huyo mama. Anatoa tu maneno ya kuwafurahisha baadhi ya watu lakini vitendo vyake havionyeshi kama yuko serious.

Marekani huko shughuli za kikanisa zilisitishwa kabisa na watu wakawa wanasali kupitia mitandao, Zoom, YouTube, Facebook, nk.
barakoa inazuia corona 120%

usiwaze.
 
Karibu Hospitali zote za Rufaa zina wagonjwa wa Covid.

Ni lini tutaendelea kutoa riport ya idadi ya wagonjwa?
 
Vyovyote vile, iwe china au wapi wala hakuna tofauti yoyote.

Madalali wa chanjo hawabagui pesa inapotoka.

Ni kufakamia tu!
Hao madalali wa chanjo ni kina nani?

Na chanjo zilizopo za tetenus, polio, ndui, surua dalali ni nani?
 
Na ni bora aliwafokea hao maaskofu uchwara.

Hakuna dini inayofundisha kutapeli watu kwa magonjwa ya kuigiza.

Nyinyi madalali na vibaraka wa wazungu kiama chenu hakipo mbali.

Hatuwezi kuruhusu mliangamize taifa kwa machanjo yenye sumu.
Nani kakulazimisha kuchanjwa? Wenye kufanya Safari za kimataifa wana haki hiyo. Wewe tulia.
 
Back
Top Bottom