Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Watu gani hao?Mbona nimeandika 'watu' au hujasoma?
Mtaongea kila lugha safari hii, ila mjue tupo zama zingine sio zile za yule aliyekufa na hatarudi tena hivyo mbadilike tuWatu gani hao?
Nyie madalali wa machanjo ya wazungu mmechanganyikiwa sio bure!
Mtaani hakuna corona. HAIPO HAIPO HAIPO.
HAIPOOO!
Corona ipo kwenye magazeti na TV tuuuu!!
Hakuna cha mwendazake hapa, umechanganyikiwa tu.Mtaongea kila lugha nyie wafuasi Mwendazake safari hii, ila mjue tupo zama zingine sio zile za yule aliyekufa na hatarudi tena hivyo mbadilike tu
CORONA imeanzia China. Acha kusingia wazungu kuhusu hilo.Na ni bora aliwafokea hao maaskofu uchwara.
Hakuna dini inayofundisha kutapeli watu kwa magonjwa ya kuigiza.
Nyinyi madalali na vibaraka wa wazungu kiama chenu hakipo mbali.
Hatuwezi kuruhusu mliangamize taifa kwa machanjo yenye sumu.
Una elimu ganiMtaani watu hawana habari, yaan ni kama tunalizimishana na kuforce
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vyovyote vile, iwe china au wapi wala hakuna tofauti yoyote.CORONA imeanzia China. Acha kusingia wazungu kuhusu hilo.
ugonjwa unapambanwaje mkuu,kwa kusema upo!Ukweli utakuweka huru,Upambane na ugonjwa au uzembee ni uamuzi ni wako ila taarifa ndio hio
barakoa inazuia corona 120%Moja ya tahadhari ni kupunguza au kuacha mikusanyiko isiyo ya lazima!
Sasa yeye badala ya kuonyesha mfano kwa vitendo, anaenda kukusanyika na hao mapadri! Tena wamekusanyika ndani ya jengo. Siyo nje kwenye hewa inayozunguka vizuri.
Halafu kuna kwaya ilikuwa inaimba. Unapoimba huwa kuna vichembe chembe vya mate vinavyoruka. Na kama upo karibu na wengine, vinaweza kuwadondokea hao watu kirahisi sana.
Hayupo serious huyo mama. Anatoa tu maneno ya kuwafurahisha baadhi ya watu lakini vitendo vyake havionyeshi kama yuko serious.
Marekani huko shughuli za kikanisa zilisitishwa kabisa na watu wakawa wanasali kupitia mitandao, Zoom, YouTube, Facebook, nk.
Hao madalali wa chanjo ni kina nani?Vyovyote vile, iwe china au wapi wala hakuna tofauti yoyote.
Madalali wa chanjo hawabagui pesa inapotoka.
Ni kufakamia tu!
Na mm hapaNchi yenu na nani?
Mbio za mwenge zilianza wakati hii variant ya delta ya wimbi la tatu ipo India. Ficha upumbavu wako. Rais anazo taarifa sahihi. Hospitals zinaripoti.Mbio za mwenge wa uhuru vipi?
Nani kakulazimisha kuchanjwa? Wenye kufanya Safari za kimataifa wana haki hiyo. Wewe tulia.Na ni bora aliwafokea hao maaskofu uchwara.
Hakuna dini inayofundisha kutapeli watu kwa magonjwa ya kuigiza.
Nyinyi madalali na vibaraka wa wazungu kiama chenu hakipo mbali.
Hatuwezi kuruhusu mliangamize taifa kwa machanjo yenye sumu.