Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We siulikuja inbox kujinadi kuwa Ni bottom mzoefu, ila unataka dola mia,
go to hell!Tunakushukuru Madam President kwa Tahadhali sasa yunaomba utoe maelekezo haya
1. Daladala iwe kukeep social distance seat 1 iwe empty kila baada ya mtu
2. Mbio za Mwenge wa Uhuru zisimame ni kueneza ugonjwa
3. Bunge la bajeti nalo likatishwe kuepuka phase 3 ya Covd 19.
4. Piga Curfew, bar mwisho saa 1 jioni na shughuli zingine
5. Twanga Lockdown angalau siku 30. Mtu asitoke zaidi ya kata yake.
6. Fanya Mass Testing mtaa kwa mtaa , door to door.
7. Vurumisha Chanjo kwa kila anayepumua Tz
Nashukuru kwa kuwa huwa unapitia humu na kusoma naamini utalitekeleza vzr.
Ni hayo tu mama
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tunakushukuru Madam President kwa Tahadhali sasa yunaomba utoe maelekezo haya
1. Daladala iwe kukeep social distance seat 1 iwe empty kila baada ya mtu
2. Mbio za Mwenge wa Uhuru zisimame ni kueneza ugonjwa
3. Bunge la bajeti nalo likatishwe kuepuka phase 3 ya Covd 19.
4. Piga Curfew, bar mwisho saa 1 jioni na shughuli zingine
5. Twanga Lockdown angalau siku 30. Mtu asitoke zaidi ya kata yake.
6. Fanya Mass Testing mtaa kwa mtaa , door to door.
7. Vurumisha Chanjo kwa kila anayepumua Tz
Nashukuru kwa kuwa huwa unapitia humu na kusoma naamini utalitekeleza vzr.
Ni hayo tu mama
Najiuliza hilo wimbi la tatu liko wapi?Hilo wimbi la tatu liko kwenye magazeti na televisheni, lakini huku mtaani hakuna cha wimbi wala bibi yake na wimbi.
Hizo fedha za wazungu mlizokula hakika mtazitapika majizi nyinyi. Maana hamuishi kuweweseka na makorona kama visungura tope.
Huku Buzza kwanza hatujui hata maana ya corona. Tunaisikiaga tu kwenye mitandao na majarida.
Kwendeni huko na mabarakoa yenu uchwara!
Matapeli wakubwa!
Liko kwenye magazeti na TV.Najiuliza hilo wimbi la tatu liko wapi?
Weka vyeti vya daktari tuone kama kweli walikufa kwa corona!Waziri Mahiga, Mbunge Mchungaji Rwakatare, Katibu Mkui Kiongozi Kijazi, Mbunge Richard Ndassa, Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif, Rais wa Jamhuri ya Muungano Magufuli, na wengine wengi.
Mama anajipendekeza sana kwa kuonyesha udhaifu kisa apate tu misaada. Na watampa ''misaada" kama atakavyo! Hamna vya bure...Wakati wenzetu wanataka kuanza kuzifungua nchi zao
Sisi ndio tuna rewind kaseti.
It is too late now.
Mpaka iwaingie akilini watu kuwa kuna corona na tuingie lockdown itachukua muda,
Hakuna anayemuelewa Rais.
Mlilelewa vibaya na yule mzeeLiko kwenye magazeti na TV.
Huku mtaani halipo. Tumebaki kusikia tu kwenye magazeti na mitandaoni kama hivi na kwenye facebook.
Eleza, corona iko wapi mbona hatuiona mtaani?Mlilelewa vibaya na yule mzee
HospitaliNajiuliza hilo wimbi la tatu liko wapi?
Mkuu jikinge na wakinge ndugu zako. Mtoto wa Museveni yupo hoi akisumbuliwa na hii kitu.Bimkubwa kwenye hili la Corona ni kama kuna Taasisi za nje anataka kuzifurahisha. Ila tulio wengi tumeshakataa kwamba Corona haipo TZ na ndio maana tunashonana kwenye mwendokasi na masokoni bila barakoa na hautuoni hospitali kuwekewa Oxygen
Bongo korona hakuna, Period!!!
Kwani huyo dokta ni nani mpaka asife?Juzi kafa Doctor mmoja bugando.
Ubishi wa kipumbavu kama huu wa kwako umepoteza maisha ya wengi sana.Kwani huyo dokta ni nani mpaka asife?
Kabla ya corona, hao madokta wako walikuwa hawafi?
Ona kichaa huyu! Ati dokta mmoja kafa!
Kwahiyo?
Jiangalieni tu msije anza kuwa mazuzu!!Mtaongea kila lugha safari hii, ila mjue tupo zama zingine sio zile za yule aliyekufa na hatarudi tena hivyo mbadilike tu