mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Hata alivokuwa anaumwa walificha sawa na mficha maradhi... Hata kuficha aina ya kifo haishangazi.kwa nini kuficha? Mama anajiuliza, kwa nini! Waliojivik uongo hawaelewiMisukule ya bwana yule ungali inambishia Mama kuwa huo ugonjwa haupo.
Kusikia kwao heri ya kenge.
Haipo haja ya kubishana chanjo ni hiari.