#COVID19 Rais Samia: Tanzania tuna wagonjwa wa Wimbi la Tatu la Corona

Huyu mama nae anataka kuleta heka heka, ngoja tuone.
 
Lini wanaanza kutoa daily data za wagonjwa na mahali walipolazwa?
 
go to hell!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Najiuliza hilo wimbi la tatu liko wapi?
 
Wakati wenzetu wanataka kuanza kuzifungua nchi zao

Sisi ndio tuna rewind kaseti.

It is too late now.

Mpaka iwaingie akilini watu kuwa kuna corona na tuingie lockdown itachukua muda,

Hakuna anayemuelewa Rais.
 
Waziri Mahiga, Mbunge Mchungaji Rwakatare, Katibu Mkui Kiongozi Kijazi, Mbunge Richard Ndassa, Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif, Rais wa Jamhuri ya Muungano Magufuli, na wengine wengi.
Weka vyeti vya daktari tuone kama kweli walikufa kwa corona!

Ama sivyo, tuamini kwamba nyinyi MAJIZI ndio mliowauwa.
 
Wakati wenzetu wanataka kuanza kuzifungua nchi zao

Sisi ndio tuna rewind kaseti.

It is too late now.

Mpaka iwaingie akilini watu kuwa kuna corona na tuingie lockdown itachukua muda,

Hakuna anayemuelewa Rais.
Mama anajipendekeza sana kwa kuonyesha udhaifu kisa apate tu misaada. Na watampa ''misaada" kama atakavyo! Hamna vya bure...
 
Mkuu jikinge na wakinge ndugu zako. Mtoto wa Museveni yupo hoi akisumbuliwa na hii kitu.

Kirusi kimepitia kanda ya ziwa kimetokea Uganda kinasumbua. Juzi kafa Doctor mmoja bugando.
 
Kwani huyo dokta ni nani mpaka asife?

Kabla ya corona, hao madokta wako walikuwa hawafi?

Ona kichaa huyu! Ati dokta mmoja kafa!

Kwahiyo?
Ubishi wa kipumbavu kama huu wa kwako umepoteza maisha ya wengi sana.

Wenye akili wanavaa barakoa wakiwa katika mikusanyiko.
 
Mtaongea kila lugha safari hii, ila mjue tupo zama zingine sio zile za yule aliyekufa na hatarudi tena hivyo mbadilike tu
Jiangalieni tu msije anza kuwa mazuzu!!

Kwa mfano hapo kinachokupa mchecheto ni kuwepo kwa korona ya magazetini wimbi la tatu au ni mahaba kwa mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…