thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
- Thread starter
-
- #141
Huu ni ukweli adimu sana kusemwa hadharani,kongole zako mkuu, mtu anayeiangamiza hii nchi kwa sasa ni Jakaya Kikwete,sijui kwanini wanamlea kiasi hiki, hapana!, something must be done including eliminating of himMtu mwenye akili timamu anajua Makamba kapewa cheo cha Uwaziri kwa upendeleo (pamoja na bodi yote iliyojaa ex President JK sycophants) na siyo kwa uwezo aliyo nao. Hili kwa Wafanyakazi wa TANESCO linakuwa very demoralizing in the long run.
Wewe bwana kijana jibu hoja basi. Kwani si kweli kuwa mitambo ni mikongwe na imechoka sana? Si kweli kwamba kuna upungufu wa maji kwenye mabwawa, au tumeacha kutumia hydro?Kweli wewe ni bitimkongwe kwelikweli
Wanao mtetea Makamba wakapimwe mkojoMatatizo gani yaliyojilimbikiza miaka kibao, uliwahi ona mgao mkubwa kiasi hiki in recent years???
Mimi naona mkakati wa kumrudisha Makamba ni planned ili wamharibie huyo mama
Kwa busara makamba angejiuzuru la sivyo Samia ataendwlea kuchukiwa Kila kona
Katika janga hili tupo pamoja Makamba haiwezi hii wizara nashangaa sana wamemuondoa Kalemani wakati alikuwa anapambana na tayari alishaweza.Utakua jinsia ya KE,neno wivu mara nyingi hutamkwa na jinsia nilioitaja
Analazimisha kufanya ufisadi huyo na yupo hapo kwa mkakati.Kwa nini ameingia na kuleta madudu yote haya?
Makamba ameshindwa kazi afukuzwe tuWatu eanahitaji perfectionism ambayo haitokaa itokee.
Labda uweke malaika.
Kwanza watanzania kulalamika na kulaumu ni sehemu ya maisha yao.
Utasikia, Yanga kufungwa leo ni nani alaumiwe.
In short, wabongo kwenye kila kitu lazima mtu alaumiwe.
Kazi yake kushinda mitandaoni kuipongeza simba tu wakati watu wanakosa kufanya kazi kisa umeme.Hawamjui Makamba kama ni mfitini
Tatizo humu watu wanaoishi kwa upambe mpo wengi sana….Huyo unayesema hajawahi kufankiwa lolote aliingia 5 bora urais 2015, amekuwa waziri chini ya marais wa3 tofauti na anaenda kuwa rais wako 2030.
Kwa nini isiwe kwa mama kuachia ngazi!?Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini.
Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi.
Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike kwa kiwango gani ndio uchukue hatua?
Sababu zote mlizozitoa zinatushangaza Watanzania, tena ni za gafla na kinzani.
Haiwezekani kuondoa wabobezi wa fani ya masuala ya umeme wote kwa mkupuo ukafanikiwa, never!
Hii teuzi ukiing'ang'ania itakuharibia kila jema uwazalo kwa Watanzania, hafai, lawama zote zitakuangukia wewe kiranja mkuu.
Ulisema, unasoma mitandaoni sana, kilio na mtazamo wa wananchi umeusikia, hivyo kwa sasa ni ngumu kwadanganya Watanzania.
Amua haraka kwa faida ya nchi, si dhambi kurekebisha kosa.
Unafikiri kwa hili tatizo la umeme na kauli kinzani za viongozi wenye dhamana waandamizi kwa nchi kama Uingereza au Ujerumani wangebaki kwenye nafasi zao ?,ni hapa kwenu serikali ndio inafanyia majaribio watumishi wake huku wakiharibu na kupewa mudaEwaaaa...
Sasa hii timu mwendazake inadhani kutunbua ndio suluhisho la matatizo. Wametumbuliwa wangapi na bado tuko palepale
Tatizo ni watu walioamua kujipa madaraka uongozi wa nchi kwa.kutumia nguvu za dola.
Akili zilizoleta mharibiko ndio akili hizohizo eti zinataka kuondoa mharibiko na kuleta maendeleo
CCM yajenga nchi
Ww ndio marope mwenyewe ama ni mkewe!?Ewaaaa...
Sasa hii timu mwendazake inadhani kutunbua ndio suluhisho la matatizo. Wametumbuliwa wangapi na bado tuko palepale
Tatizo ni watu walioamua kujipa madaraka uongozi wa nchi kwa.kutumia nguvu za dola.
Akili zilizoleta mharibiko ndio akili hizohizo eti zinataka kuondoa mharibiko na kuleta maendeleo
CCM yajenga nchi
Huyo mnayemuita Vasco da Gama sijawahi kuona ubaya wake wa kustahili chuki kubwa namna hii hadi kuwachukia watu wake wa karibu pia!
Hii nchi mpaka mapinduzi ya.....yafanyikeKuna watu wapo serikalini kutokana na majina ya familia zao tu.
Ila uwezo mdogo sana,
Kubebana tu wakati kuna vijana wengi tu wapo mtaani wenye uwezo mkubwa wa kuliendeleza Taifa hili.
Tunatengeneza kizazi cha watawala na watawaliwa.
Jambo baya sana hili.
Kosa lake ni nini ?,Mawaziri wa Pombe hawa, wamejaa bado mambo ya Pombe Pombe tu, Macamera, ujinga na masifa ya kijinga! Samia timua hawa mawaziri wenye hizi tabia za kinafiki!! Hapo anajiona mzalendo kwenda kuchota maji kwenye madumu...
View attachment 2017478